Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu mheshimiwa alikuwa anatajwa kama mtaalamu sana aliyeifanikisha benki ya crdb.
Hawezi kuwa suluhisho la nyakati hizi za mfumuko wa bei?
Walevi wa madaraka walimdanganya atakuwa waziri wa fedha.Kimei ni kielelezo cha waafrica na watanzania wenye tamaa na uchu wa madaraka. Mpaka leo sielewi alienda kutafuta nni kwenye ubunge…..
Kimei Hana maajabu.Hana jipya kwani hata hiyo CRDB ameondoka ameacha mikopo chefuchefu ya matrilioni ya hela aliyowakopesha wahind ina yeye akakomba 10% yake!! Hawa ndio walikuwa mafisadi wa Jiwe...
Tatizo jiwe kumkatalia ilikuwa shida na ule ukali wake. Mikopo hapo kimei anabeba lawama kwasababu ndio boss japo inawezekana yeye alikuwa anaidhinisha waliopitia wa chini yake.Hana jipya kwani hata hiyo CRDB ameondoka ameacha mikopo chefuchefu ya matrilioni ya hela aliyowakopesha wahind ina yeye akakomba 10% yake!! Hawa ndio walikuwa mafisadi wa Jiwe...
Tatizo jiwe kumkatalia ilikuwa shida na ule ukali wake. Mikopo hapo kimei anabeba lawama kwasababu ndio boss japo inawezekana yeye alikuwa anaidhinisha waliopitia wa chini yake.
Chato ni hasara kwenye sekta nyingi sana.
Kwakweli mchango wake bungeni hauonekani.
CCM wabaya Sana yani walimdanganya licha ya usomi wake eti watampatia uwazir wa fedha hata yeye mwenyewe alikuwa na uhakika lakini hatasahau. Kilichomwaribia jamaa ni kabila lake.Huyu mheshimiwa alikuwa anatajwa kama mtaalamu sana aliyeifanikisha benki ya crdb.
Hawezi kuwa suluhisho la nyakati hizi za mfumuko wa bei?
Alikuwa na uhakika wa kuwa WaziriKimei ni kielelezo cha waafrica na watanzania wenye tamaa na uchu wa madaraka. Mpaka leo sielewi alienda kutafuta nini kwenye ubunge…..
Baniani Mbaya Kiatu Chake dawa...huyu unaemsema mbovu ndio alikua analipa mishahara ya wafanyakazi wa serikali enzi za Msoga...huyu mzee angekaza mishahara watu wangepata tarehe 52 badala ya 35 waliokua wanapata...give some respect to an oldmanHana jipya kwani hata hiyo CRDB ameondoka ameacha mikopo chefuchefu ya matrilioni ya hela aliyowakopesha wahindi na yeye akakomba 10% yake!! Hawa ndio walikuwa mafisadi wa Jiwe; akamjengea tawi la benki ambalo baada ya klfo chake ilibidi lifungwe kwa kukosa biashara na sasa limekuwa klabu huko Chattle!!! Watu wenye tabia ya uchawa ni hatari kwa maendeleo ya nchi.
Muacheni akae huko kwao Moshi na uBunge wake wa kuhongwa na Jiwe!
Baniani Mbaya Kiatu Chake dawa...huyu unaemsema mbovu ndio alikua analipa mishahara ya wafanyakazi wa serikali enzi za Msoga...huyu mzee angekaza mishahara watu wangepata tarehe 52 badala ya 35 waliokua wanapata...give some respect to an oldman