Yupo wapi Dkt. Charles Kimei?

Yupo wapi Dkt. Charles Kimei?

Huyu mheshimiwa alikuwa anatajwa kama mtaalamu sana aliyeifanikisha benki ya crdb.

Hawezi kuwa suluhisho la nyakati hizi za mfumuko wa bei?
[emoji38][emoji38][emoji38] aliposhiriki wizi wa kura 2020 aliamini atakuwa Waziri wa Fedha
 
Baniani Mbaya Kiatu Chake dawa...huyu unaemsema mbovu ndio alikua analipa mishahara ya wafanyakazi wa serikali enzi za Msoga...huyu mzee angekaza mishahara watu wangepata tarehe 52 badala ya 35 waliokua wanapata...give some respect to an oldman
Ujinga @Dot•com
 
Huyu mheshimiwa alikuwa anatajwa kama mtaalamu sana aliyeifanikisha benki ya CRDB.

Hawezi kuwa suluhisho la nyakati hizi za mfumuko wa bei?
Huko ccm hata akija Biden kugombea kwenye hicho chama atakuwa mpumbavu tu
 
Back
Top Bottom