King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
- Thread starter
- #41
Hahaha hatari sana mkuu....Mponjoli rafiki yake Mr II.Huyu nlipiga naye sangu sec sema alinizidi vidato...wakat naingia sangu sec hao ndy walikuwa wababe wa shule mgeni
Ukifika lazima ureport kwao
Ila mziki wangu waliona...wenyew walikubali
Ova