Yupo wapi Rais Mpendwa Samia Suluhu Hassan?



Mama ana majonzi moyoni, watu wamekula zaidi ya urefu wa kamba zao.--- asipoangalia mama atadondoka 2025 kimasihara kwani watu wana hasira kweli, mtu anakatwa kwenye miamala ya simu nk halafu watu wanapiga kama pesa yao.🤣🤣
 
Nimesoma hii thread , nikamkumbuka Mke wa Marehemu Samora aliyekuwa Rais wa Msumbiji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…