Mokaze
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 14,370
- 14,929
Sio kawaida kukaa kimya bila kutokea hadharani au kuzungumza Jambo kwetu sisi wananchi wake wapendwa.
Huwa anaibuka na Jambo lolote mara moja walau ndani ya siku mbili tunamwona Runingani, mitandani au kumsikia redioni.
Mama nimekumiss xaaannahh Mama.
Mama ana majonzi moyoni, watu wamekula zaidi ya urefu wa kamba zao.--- asipoangalia mama atadondoka 2025 kimasihara kwani watu wana hasira kweli, mtu anakatwa kwenye miamala ya simu nk halafu watu wanapiga kama pesa yao.🤣🤣