peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Tanzania Mining Cadastre Portal mtandao huo umezimwa sasa ni miezi 4 haufanyi kazi
Prof. Idris Suleiman Kikula, mwenyekiti wa Tume ya Madini amekiri kuwa Mtandao tajwa hapo juu umezima kama sio kushindwa kufanya kazi kwa kipindi cha miezi minne sasa. Kukosekana kwa huduma hiyo muhimu kumeikosesha serikali hasara ya bilioni 7 kwa mwezi jambo ambalo sio la kuvumiliwa. Waziri...