Yupo wapi Rais Mpendwa Samia Suluhu Hassan?

Yupo wapi Rais Mpendwa Samia Suluhu Hassan?

Sio kawaida kukaa kimya bila kutokea hadharani au kuzungumza Jambo kwetu sisi wananchi wake wapendwa.

Huwa anaibuka na Jambo lolote mara moja walau ndani ya siku mbili tunamwona Runingani, mitandani au kumsikia redioni.

Mama nimekumiss xaaannahh Mama.
Bwana Freed Freed ni jamaa ambae anajipambanua kua ni miongoni mwa maafisa usalama na amewai kumtishia maisha ndugu Mpwayangu village.....

Kwa ambao hawamfahamu wafahamu....
🇹🇿🇹🇿🇹🇿

Wasalaam
Kwa Sasa
+267
 
Back
Top Bottom