peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Kivipi?Nimesoma hii thread , nikamkumbuka Mke wa Marehemu Samora aliyekuwa Rais wa Msumbiji.
Mbona ikulu wamepost akiwa na majaliwa ikulu leoTulianza ivi ivi
Mbona kama ana wasiwasi?IKULU TANZANIA: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa wakati akielekea kwenye Kikao na Watendaji wa Msajili wa Hazina Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Aprili, 2023.
View attachment 2587798
Chonganishi..Ramli
Yupo Dar mitaa ya nzena hspitoAnaongea akiwa mkoa gani hapa Tz?
Lile suala la over invoice linamchanganya sanaMbona kama ana wasiwasi?
Tundu gn kweli wewe ulitokea wakati unazaliwa?Mama Yupo na mungu anamlinda milele amina.tofauti na yuleeee. Mama kanyaga twende tumecheleweshwa mnooo kama taifa zaidi ya miaka 7
Yaa, ni kweliMbona ikulu wamepost akiwa na majaliwa ikulu leo
Kwanini umemkumbuka?Nimesoma hii thread , nikamkumbuka Mke wa Marehemu Samora aliyekuwa Rais wa Msumbiji.
Yupp ofisin anachapa kazRais wetu ni mzima kabisa na anachapa kazi... Kaniambia niwasalimie
"Mcave" alivyo soft na muoga ataweza kweli? Navyomjua jamaa atakataa tu kwa hiari na kwenda kuchunga mbuzi.Waziri wetu Majaliwa usijibu hili swali ni mteeegoooo
Bwana Freed Freed ni jamaa ambae anajipambanua kua ni miongoni mwa maafisa usalama na amewai kumtishia maisha ndugu Mpwayangu village.....Sio kawaida kukaa kimya bila kutokea hadharani au kuzungumza Jambo kwetu sisi wananchi wake wapendwa.
Huwa anaibuka na Jambo lolote mara moja walau ndani ya siku mbili tunamwona Runingani, mitandani au kumsikia redioni.
Mama nimekumiss xaaannahh Mama.
πππWaziri wetu Majaliwa usijibu hili swali ni mteeegoooo
πTulianza ivi ivi
alisemaje?
DaaaππππHahahaha
Nimepaliwa daku