Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 14,705
- 30,041
Unataka kutuambia ndio mwenyewe huyu🤣🤣🤣
Ndio mkuu,we ulifikiri ni broShesRise_1
Ni mdada!?🤔
Jf imejaa "MabibiNamabwana" wengi wakati huu kuliko kipindi chochote kileNdio mkuu,we ulifikiri ni bro
Hatar sana aisee,huyu ni dada na sio bro mkuuJf imejaa "MabibiNamabwana" wengi wakati huu kuliko kipindi chochote kile
Hawakawii kusema ni I'd yangu nyingine,humu watu wamerugwa,tuwavumilie na kuwaelewa tuWatasema wew ndio huyo dada unajipigia promo😂
Alisema ni mara yake ya mwisho kuwa jf kwenye uzi wake ule wa juzi kati. Nadhan ameachana na jf.
Muda utaogea mkuu, ngoja tumpe mudaAlisema ni mara yake ya mwisho kuwa jf kwenye uzi wake ule wa juzi kati. Nadhan ameachana na jf.
ule wa j3 wa reasoning.Uzi upi?
tumuombee tu huenda kuna mambo anapitia ambayo hawezi kuyasema.Muda utaogea mkuu, ngoja tumpe muda
Hilo nalo neno mkuu, binadamu huwa tunakutana na changamoto nyingi sanatumuombee tu huenda kuna mambo anapitia ambayo hawezi kuyasema.
Mkuu mbona tunakoseana heshima?Umemiss shogaako?
Umemfananisha...