Yupo wapi siku hizi?

Yupo wapi siku hizi?

Tabia wa kidedea nilisikia alifariki kwenye mabomu ya Gongo la mboto
 
Swebe ni mtangazaji wa EFM hapa dar na Kibakuli ni marehemu.Kwani Nina wa mambo hayo nae yuko wapi
 
Enika kwenye msiba wa Mengi alionekana akiimba pia kuna kundi la comedy linaongozwa na somebody Bukuku huwa anakua huko ....

Swebe ni mtangazaji pale Efm kipindi chao kinaanza saa sita mpaka saa tisa mchana
Kinaitwa uhondo yuko na Dina marios na yule bibi mmbea mmbea sijui anaitwa na nani
 
Habari wakuu.

Nimeona kuna haja ya kuanzisha uzi maalumu wa kufahamu walipo baadhi ya watu wetu waliowahi kujulikana sana enzi hizo.

Leo naanza kwa kutaka kujua wapo wapi watu hawa?

1) Flora Nducha wa Radio One
2) Enika wa baridi kama hii
3) Peter Manyika- Kipa wa Yanga
4) Snare wa East Coast Team
5) KR jibaba wa Wanaume TMK
6)Sinta wa Juma Nature
7) Suma Lee na CPWAA
8) Angel Damas aliwahi kua Miss Tanzania
9) K.sal Mwana Mkiwa
10) Edger Maokola Majongo
11) Masood Sura Mbaya
12) Yule mtunzi wa Jumba la Dhahabu
13) Kibakuli na Swebe wa Kaole
14) Tina na Mjuba wa Mambo hayo



List imeongezeka
Wapo wapi hawa?

1) Sekion David
2)Nyamayao
3)Bab lee wa Kizizi
4)Jimmy Plus wa Misukosuko
5)Tabia wa Kidedea
6) Paulin Zongo
7) Mama Terry wa Ushauri Nasaha
8) MB Dogg na Marlaw
9) Sajna na CSir Madini wa Tetemesha
10) Bery Black na Bery White wa Znz

Tujuzane tu

Na kama kuna mtu aliwahi kukufurahisha enzi hizo mtaje hapa jungu kuu halikosi ukoko tujue wapo wapi na wanafanya nini.

Ahsanten.
Mama Terry yupo TBC1 ijumaa saa Tatu usiku kipindi chake nimekisahau ni bibi flani hivi
 
LWP wako wpi Dah
Wazee wa jitu jitu kali.....

Ova
 
Saigon aliendaga uk inasemekana alipigwa bomba
Nakumbka alikuwa shabiki mkubwa wa team ya abajalo ........kwenye mechi alikuwa hakosi
Ova
dah!kweli noma!katika wana waliokuwa wanafanya real hip hop uyu ni m1 wapo....the best emcee dah!
 
Hao hao Dah
Na wanangu mabaga fresh
Wanagoma lao ambalo mpk leo naikubali linaitwa mtulizeeee walim ft nature
Ova
mtulize kabla hajakutuliza kudadeki tuna hasira kama tumekunywa maji ya betri....mmoja wao namuonaga mitaa ya tandika nahisi anaishi buza!
 
Back
Top Bottom