Jina la Shaa alipewa na marehem mangwea walipofanya hii collaboYes kama mfuatiliaji wamuziki hili ndo jina alilotumia kwenye ile star search ya coca cola nahisi..
Ndipo lilipopatikana kundi la WAKILISHA
Witness--WAKI
Langa-- LI
Sarah-- SHAA
Kundi lilipovunjika Sarah akaondoka na SHAA yake.. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Walitengeneza hit song kama Hoi na Kiswanglish
DJ yusuph yupo marekaniBinafsi ningependa kufahamu wako wapi
1. Eluka. Aliimba 'Nikizipata'.
2. ML Chris na 'Antonia from Cuba (kuba)'. Walikuwa wanafanya The Weekenda nadhani, Clouds FM back in the day kila Ijumaa from 4 to 6 jioni. Loved that show.
3. Dj Yusuf. Aliimba 'mbele kwa mbele'
4. Dani Msimamo. Aliimba 'Wapo wanaotaka, moja ya ngoma kali sana za rap Bongo. Nadhani aliwalenga Clouds.
5. Dunga wa Mandugu Digital.
Yeah farida nadhani aliolewa na msanii Roho 7 ambae nae ni mwanajeshi kwa sasa.Kuna dada aliimbaga nyimbo ya "oh pesa, oh pesa, kila mtu anakuhitaji, ili umtizie mahitaji yake...
Nahisi alikuwa anaitwa Farida
Da Jo tumekukubali, na bado nadhani kuna swali [emoji23][emoji23] lilikua bonge la Ngoma hili'Da Jo' from Kigamboni.... the female emcee who made me start internalising bongo hip hop. I loved muuuch ile flow yake ya kurap.
'Da Jo' yupo wapi nowadays? Anafanya nini?
One of my most favourite female emcees wa bongo hip hop by then.
-Kaveli-
Ah we da jo tumekukubali...'Da Jo' from Kigamboni.... the female emcee who made me start internalising bongo hip hop. I loved muuuch ile flow yake ya kurap.
'Da Jo' yupo wapi nowadays? Anafanya nini?
One of my most favourite female emcees wa bongo hip hop by then.
-Kaveli-
Jina la Shaa alipewa na marehem mangwea walipofanya hii collabomwanzo jina alikua anatumia lake halali la Sarah kaisi ndio mangwea akamuita shaa na likapita mpaka leo
Bro ukicheki hyo video ambayo ndio ngoma ya kwanza ya shaa after kutoka wakilisha bdo alikua akitumia Sarah kaisi.. na ktk verse ya ngwea ndio akatamka shaa na ndio likapita. Aliwahi kuielezea pia kipindi cha msiba wa Ngwea bado naitafuta link ntaiweka pia hapaHapana baada ya sarah kujitoa wakilishaa
Langa na witness wakabadili jina wakajiita WAKILI
Ndipo Sarah kiutani akaona ajiite "Shaa" zile herufi za mwisho za kundi...
Sio marehem ngwair aliyempa jina
Na kiundani pia nafahamiana na shaa personallyHapana baada ya sarah kujitoa wakilishaa
Langa na witness wakabadili jina wakajiita WAKILI
Ndipo Sarah kiutani akaona ajiite "Shaa" zile herufi za mwisho za kundi...
Sio marehem ngwair aliyempa jina
Okay Maybe hiyo ndo story ya kiundani sisi fans official story tulipewa hiyo... [emoji23]Na kiundani pia nafahamiana na shaa personally
zamani ukikumbuka unaweza ukamwaga hata chozi yani hivi wako wapi sumbi na bocha,abiola, bupe na aunt seche wa kaole, yu wapi dada alieimba maprosooo
Wallah huyo kanipita kaka labda nyimbo yake ningeijua ningemvutia hisia.Dada Othiambo, unamkumbuka Da Jo?
-Kaveli-
Wallah huyo kanipita kaka labda nyimbo yake ningeijua ningemvutia hisia.Dada Othiambo, unamkumbuka Da Jo?
-Kaveli-
Wallah huyo kanipita kaka labda nyimbo yake ningeijua ningemvutia hisia.Dada Othiambo, unamkumbuka Da Jo?
-Kaveli-
Umechanganya Madawa mkuu..Ma-jobless ni BDP(Bigdogg Pose) waliokuwa wanafanya recording zao na Amit Bajaj Mentor.Big doggy Pose
Watoto wa juzi hawawezi wajua hawa.
Wao wanamjua harmonize na lavalava tu
Enzi hizo BDP wanatesa na ngoma ya "make wa MTU ni sumu na majobless au ile ya wanaokwenda jela Ft inspector harun ,harmonize alikuwa Ntwara anacheza mdako na kibababa lava lava alikuwa kwao mitaa ya uswazi dar hapo alivalishwa nepi
Hahahaha