Capital G
JF-Expert Member
- Jul 2, 2017
- 3,445
- 5,336
Jina la Shaa alipewa na marehem mangwea walipofanya hii collabo mwanzo jina alikua anatumia lake halali la Sarah kaisi ndio mangwea akamuita shaa na likapita mpaka leoYes kama mfuatiliaji wamuziki hili ndo jina alilotumia kwenye ile star search ya coca cola nahisi..
Ndipo lilipopatikana kundi la WAKILISHA
Witness--WAKI
Langa-- LI
Sarah-- SHAA
Kundi lilipovunjika Sarah akaondoka na SHAA yake.. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Walitengeneza hit song kama Hoi na Kiswanglish