Yupo wapi siku hizi?

 

Attachments

Mike T na track zake
Hali halisi ft Jay dee
Sintobadilika ft Qchief
Je utanipenda ft Mad Ice
Alikuwa bishoo flani hiv classic, namkubali sana

Oten track kali ilikuwa nicheki ninavyongara
Mike Tee, huyu mnyalu alikuwa anajua sna asee

wapi O Ten mzee wa Nichek

wapi Bwana Misosi
 
Aisee Umetish sana mzazi nimezi tafuta sana hizi nyimbo....
Umezitoa chimbo gani
Ile nyimbo ya farida oh pesa unayo
Hizi ngoma ninazo toka kitambo.ndo ninazosikiliza karibu kila siku kuliko kusikiliza manyimbo ya siku hizi.kukusaidia pakuzipata baadhi tafuta uzi flani humu unasomeka "wimbo gani ulioutafuta bila mafanikio"? Humo wadau wametiririsha sana hizi mambo
 
dah hata sijui aisee..
ila nahisi Kali P alikuwa kati ya wasanii wa mwanzo kabisa kuhamia huko
Kuna kipindi kinaitwa Heshima ya Bongo Flava kinarushwa EATV na EA Radio, wanahoji wasanii wa zamani na ngoma za zamani pia
 
YDash yuko kwa madiba anafanyakazi sheli
 
Sumbi na bocha maisha yao kwenye TV walikuwa wanayaleta hadi mtaani...kipindi nipo primary nilipanda nao daladala ya ubungo kutokea posta...aisee abiria tulicheka sana mule ndani...walikuwa wanazinguana kinoma sometimes kama utani sometimes kama ukweli, design walikuwa wamelewa..nakumbuka walishukia manzese
 

Da jo nilipata taarifa zake miaka mingi imepita,alikuwa ameolewa,aliachana na muziki, sijui yupo wapi kwa sasa. Pia kuna kundi lilitwa w10n (weusi kumi nangangari) na ngoma yao ya makaretee, moja ya ngoma kali za hiphop kuwahi kutokea bongo. Hawa ndio sijawahi kuwasikia popote for years. Ila naamini Sebastian Maganga anaweza kuwa na taarifa za hawa watu, he worked so hard kupromote huu mziki kwa makundi na wasanii waliokuwa wanabaniwa na mawingu
 
Tabia wa kidedea alishatangulia mbele za haki
 
Duh.fame yote ile aishi lukozi.kweli mambo yanabadilika asee


Mkuu mbona unakushusha vyeo lukozi?? Kuna watu wapo kule wana mawe wanaoishi sinza au kino hawana...


Nyumbani ni nyumbani...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…