Yupo wapi siku hizi?

Yupo wapi siku hizi?

Saigon mzee wa oi..oi..oi
Huyo saigon anatumia salehsaigon
Screenshot_2019-05-17-08-39-34.jpg
 
1.Bishanga,Waridi na Aisha wa mambo hayo
2.Sekioni David
3.Nyamayao na kibakuli
4.Jimmy plus wa misukosuko
5.Idd ligongo
6.Arnod Kayanda
7.Sauda Simba Kilumanga
Sekion David Daaah huyu jamaa atafutwe kweli

Jimmy plus mpaka nilishamsahau

Iddy Ligongo nadhan yupo mashirika ya utangazaji ughaibuni
 
Habari wakuu.

Nimeona kuna haja ya kuanzisha uzi maalumu wa kufahamu walipo baadhi ya watu wetu waliowahi kujulikana sana enzi hizo.

Leo naanza kwa kutaka kujua wapo wapi watu hawa?

1) Flora Nducha wa Radio One
2) Enika wa baridi kama hii
3) Peter Manyika- mlinzi wa Yanga
4) Snare wa East Coast Team
5) KR jibaba wa Wanaume TMK
6)Sinta wa Juma Nature
7) Suma Lee na CPWAA
8) Angel Damas aliwahi kua Miss Tanzania
9) K.sal Mwana Mkiwa
10) Edger Maokola Majongo
11) Masood Sura Mbaya
12) Yule mtunzi wa Jumba la Dhahabu
13) Kibakuli na Swebe wa Kaole
14) Tina na Mjuba wa Mambo hayo

Tujuzane tu

Na kama kuna mtu aliwahi kukufurahisha enzi hizo mtaje hapa jungu kuu halikosi ukoko tujue wapo wapi na wanafanya nini.

Ahsanten.
Bila kusahau paulina zongo
 
Back
Top Bottom