Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Tundu Lisu yupo kimya sana baada ya kufanya mikutano Mkoa wa Singida. Alipata uungwaji mkono mkubwa sana jambo linaloweza kuwa limepelekea mahasimu wake wampangie bei.
Since then, ametulia na amepunguza makeke hata kwenye social midia. Ndugu yetu huyu aliyekunywa maji ya bendera na mzalendo wa kweli yupo wapi?
Yupo tayari kwenda kupangiwa cha kusema na akina Kibajaji kama wanavyomdhalilisha Msigwa majukwaani?
My brother, bora ufe masikini ukiwa na msimamo wako kuliko kuuza utu wako leo kwa vipande vya fedha na madaraka. Bora chadema mbovu kuliko CCm Chuku chuku.
Wilbrod Silaa alikata tamaa akiamini tatizo ni chadema lakini sasa hivi amegundua tatizo kubwa ni CCM .
Tundu Lisu epuka vipande vya fedha, kataa uwaziri Mkuu au umakamu wa Rais, kubali kwamba upo Duniani kama Mussa kuwavisha watanzania kueelekea kwenye ukombozi aidha ukiwa hai au ukiwa haupo Duniani wanao watapewa nishani kwa niaba ya baba yao