Yupo wapi Tundu Lissu? Ni kweli anajiandaa kujiunga CCM?

Ningetamani sana kujua maongezi ya Mwisho na Msigwa kule Singuda yalikuwa ni nini? Maana Msigwa alikuwa na Lissu huko Singida na alipo toka akahamia CCM...Sijui ilikuwaje au ndio ilikuwa kumuaga makamu Lissu.
Jingine ni kwamba, Msigwa anamponda zaidi Mbowe kuliko Lisu, kuna namna hapa maana CDM sio Mbowe pekee.
 
Tundu Lisu yupo kimya sana baada ya kufanya mikutano Mkoa wa Singida. Alipata uungwaji mkono mkubwa sana jambo linaloweza kuwa limepelekea mahasimu wake wampangie bei.

Since then, ametulia na amepunguza makeke hata kwenye social midia. Ndugu yetu huyu aliyekunywa maji ya bendera na mzalendo wa kweli yupo wapi?

Yupo tayari kwenda kupangiwa cha kusema na akina Kibajaji kama wanavyomdhalilisha Msigwa majukwaani?

My brother, bora ufe masikini ukiwa na msimamo wako kuliko kuuza utu wako leo kwa vipande vya fedha na madaraka. Bora chadema mbovu kuliko CCm Chuku chuku.

Wilbrod Silaa alikata tamaa akiamini tatizo ni chadema lakini sasa hivi amegundua tatizo kubwa ni CCM .

Tundu Lisu epuka vipande vya fedha, kataa uwaziri Mkuu au umakamu wa Rais, kubali kwamba upo Duniani kama Mussa kuwavisha watanzania kueelekea kwenye ukombozi aidha ukiwa hai au ukiwa haupo Duniani wanao watapewa nishani kwa niaba ya baba yao
Huyo jamaa hata akimilikishwa bandari zote za Tanganyika na Zanzibar na ahaidiwe kuto tozwa hata 50cent hawezi kwenda CCM.
 
Kuna watu Tundu Lissu mmemfahamu juzijuzi tu,Tundu yuko tayari kukaa bila chama ila sio kujiunga CCM
usimlie yamini mwanasiasa hata siku moja ndugu.

Mwanasiasa hata yeye mwenye binafsi yake hajiamini.
 
Lisu CDM anapoteza muda tu kama mwenyekiti ameshindwa kuhamasisha makamu wake achangiwe ili apate gari jipya na tukimuona Lisu anafanya mikutano na mkweche wake kuna nini hapo.
Tundu
usimlie yamini mwanasiasa hata siku moja ndugu.

Mwanasiasa hata yeye mwenye binafsi yake hajiamini.
Tundu lisu sio mwanasiasa,ni mwanaharakati
 
Na yeye ana familia, kama alipigwa risasi hakuna aliyeandamana, si bora na yeye alemo kidogo aachie na watoto wake.
 
Tundu Lisu yupo kimya sana baada ya kufanya mikutano Mkoa wa Singida. Alipata uungwaji mkono mkubwa sana jambo linaloweza kuwa limepelekea mahasimu wake wampangie bei.

Since then, ametulia na amepunguza makeke hata kwenye social midia. Ndugu yetu huyu aliyekunywa maji ya bendera na mzalendo wa kweli yupo wapi?

Yupo tayari kwenda kupangiwa cha kusema na akina Kibajaji kama wanavyomdhalilisha Msigwa majukwaani?

My brother, bora ufe masikini ukiwa na msimamo wako kuliko kuuza utu wako leo kwa vipande vya fedha na madaraka. Bora chadema mbovu kuliko CCm Chuku chuku.

Wilbrod Silaa alikata tamaa akiamini tatizo ni chadema lakini sasa hivi amegundua tatizo kubwa ni CCM .

Tundu Lisu epuka vipande vya fedha, kataa uwaziri Mkuu au umakamu wa Rais, kubali kwamba upo Duniani kama Mussa kuwavisha watanzania kueelekea kwenye ukombozi aidha ukiwa hai au ukiwa haupo Duniani wanao watapewa nishani kwa niaba ya baba yao
Naye ana tumbo mkuu! Kumbuka njaa haina bouncer!
 
Independent candidate 😁😁

Watu wanataka mpunga waishi wewe unaleta porojo , kwani Watoto wake hawahitaji pesa? 🤣🤣

Utafikir pesa iko kwenye siasa tu .... sasa wewe mwenzetu una kawadhifa gani huko kwenye Chama ....!!?
 
Mwacheni Kamanda apumzike, akiwepo oohh anamdharau mama kwa maneno yake majukwaani - akiamua kupumzika kidogo oohh kaenda wapi sasa - wanadamu aisee.
 
Ningetamani sana kujua maongezi ya Mwisho na Msigwa kule Singuda yalikuwa ni nini? Maana Msigwa alikuwa na Lissu huko Singida na alipo toka akahamia CCM...Sijui ilikuwaje au ndio ilikuwa kumuaga makamu Lissu.
Jingine ni kwamba, Msigwa anamponda zaidi Mbowe kuliko Lisu, kuna namna hapa maana CDM sio Mbowe pekee.
Enheee, hapo ndio penyewe, hoja chokonozi hii
 
Back
Top Bottom