Au wamemtishia?Independent candidate 😁😁
Watu wanataka mpunga waishi wewe unaleta porojo , kwani Watoto wake hawahitaji pesa? 🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Au wamemtishia?Independent candidate 😁😁
Watu wanataka mpunga waishi wewe unaleta porojo , kwani Watoto wake hawahitaji pesa? 🤣🤣
Asipopewa anamshtaki Nan?Acha kumdanganya mwenzako mtu apewe umakamu akatae kisa chadema
Huyo jamaa hata akimilikishwa bandari zote za Tanganyika na Zanzibar na ahaidiwe kuto tozwa hata 50cent hawezi kwenda CCM.Tundu Lisu yupo kimya sana baada ya kufanya mikutano Mkoa wa Singida. Alipata uungwaji mkono mkubwa sana jambo linaloweza kuwa limepelekea mahasimu wake wampangie bei.
Since then, ametulia na amepunguza makeke hata kwenye social midia. Ndugu yetu huyu aliyekunywa maji ya bendera na mzalendo wa kweli yupo wapi?
Yupo tayari kwenda kupangiwa cha kusema na akina Kibajaji kama wanavyomdhalilisha Msigwa majukwaani?
My brother, bora ufe masikini ukiwa na msimamo wako kuliko kuuza utu wako leo kwa vipande vya fedha na madaraka. Bora chadema mbovu kuliko CCm Chuku chuku.
Wilbrod Silaa alikata tamaa akiamini tatizo ni chadema lakini sasa hivi amegundua tatizo kubwa ni CCM .
Tundu Lisu epuka vipande vya fedha, kataa uwaziri Mkuu au umakamu wa Rais, kubali kwamba upo Duniani kama Mussa kuwavisha watanzania kueelekea kwenye ukombozi aidha ukiwa hai au ukiwa haupo Duniani wanao watapewa nishani kwa niaba ya baba yao
Kwa mfano,wewe ukipewa shilingi ngapi unabadili imani yako?Muitikio mdogo wa maandamano umemmaliza kabisa.
Bora angefika bei mapema afanye yake kuliko kupigania maiti.
usimlie yamini mwanasiasa hata siku moja ndugu.Kuna watu Tundu Lissu mmemfahamu juzijuzi tu,Tundu yuko tayari kukaa bila chama ila sio kujiunga CCM
TunduLisu CDM anapoteza muda tu kama mwenyekiti ameshindwa kuhamasisha makamu wake achangiwe ili apate gari jipya na tukimuona Lisu anafanya mikutano na mkweche wake kuna nini hapo.
Tundu lisu sio mwanasiasa,ni mwanaharakatiusimlie yamini mwanasiasa hata siku moja ndugu.
Mwanasiasa hata yeye mwenye binafsi yake hajiamini.
Na iwe hivyo, nitakuwa mwanachama wa chama cha siasa kwa mara ya kwanza.Wao wanasema yuko ofisini na mwanasheria wake wanamalizia kuhariri katiba ya chama chake kipya.
Atarudi NCCR ya MbatiaLisu anaweza kwenda CUF
Naye ana tumbo mkuu! Kumbuka njaa haina bouncer!Tundu Lisu yupo kimya sana baada ya kufanya mikutano Mkoa wa Singida. Alipata uungwaji mkono mkubwa sana jambo linaloweza kuwa limepelekea mahasimu wake wampangie bei.
Since then, ametulia na amepunguza makeke hata kwenye social midia. Ndugu yetu huyu aliyekunywa maji ya bendera na mzalendo wa kweli yupo wapi?
Yupo tayari kwenda kupangiwa cha kusema na akina Kibajaji kama wanavyomdhalilisha Msigwa majukwaani?
My brother, bora ufe masikini ukiwa na msimamo wako kuliko kuuza utu wako leo kwa vipande vya fedha na madaraka. Bora chadema mbovu kuliko CCm Chuku chuku.
Wilbrod Silaa alikata tamaa akiamini tatizo ni chadema lakini sasa hivi amegundua tatizo kubwa ni CCM .
Tundu Lisu epuka vipande vya fedha, kataa uwaziri Mkuu au umakamu wa Rais, kubali kwamba upo Duniani kama Mussa kuwavisha watanzania kueelekea kwenye ukombozi aidha ukiwa hai au ukiwa haupo Duniani wanao watapewa nishani kwa niaba ya baba yao
Independent candidate 😁😁
Watu wanataka mpunga waishi wewe unaleta porojo , kwani Watoto wake hawahitaji pesa? 🤣🤣
SinaUtafikir pesa iko kwenye siasa tu .... sasa wewe mwenzetu una kawadhifa gani huko kwenye Chama ....!!?
Haya maneno haya.. Wacha niweke nukta hapa.Kuna watu Tundu Lissu mmemfahamu juzijuzi tu,Tundu yuko tayari kukaa bila chama ila sio kujiunga CCM
Ombaomba ukatibu-mahsusi wa mama SSH unaweza kufikiriwa.Au haujui hatimkato na kuumba herufi?Sina
Enheee, hapo ndio penyewe, hoja chokonozi hiiNingetamani sana kujua maongezi ya Mwisho na Msigwa kule Singuda yalikuwa ni nini? Maana Msigwa alikuwa na Lissu huko Singida na alipo toka akahamia CCM...Sijui ilikuwaje au ndio ilikuwa kumuaga makamu Lissu.
Jingine ni kwamba, Msigwa anamponda zaidi Mbowe kuliko Lisu, kuna namna hapa maana CDM sio Mbowe pekee.