Yupo wapi Waziri wetu wa Katiba na Sheria, Dkt. Mwigulu Nchemba?

Hii tabia ya kuulizia walipo wengine wakati sisi wenyewe hatujui hata leo mchana tutakuwa wapi ikome, ni ushamba.
Du hii nayo kali sasa,kwani wewe huwa huulizi usipomuona mtu unayemfahamu sehemu?
 
Tangu lini hekima ikatoka CCM? Anyway, hatujui alipo na wala hatuna haja ya kujua.
 
Hii tabia ya kuulizia walipo wengine wakati sisi wenyewe hatujui hata leo mchana tutakuwa wapi ikome, ni ushamba.
Usikonde. Piga nyungu sana, epuka misongamano, epuka safari zisizo za lazima, tumia vitakasa mikono, vaa barakoa, na dai chanjo ije haraka. Utanenepa. Nukta.
 
Aisee mimi pia ni mtu wa tizi...sasa siku ya mechi ya Simba na mechi ya yanga last wk end...nilipiga nyingi sana nikawa nashangaa hangover gani isiyoisha....kumbe covid kapita humo mzee...dalili zote zimo..this kitu is real asee...bado nipo caranteen.
 
Phd yule
 
mwigulu njoo huku school mate wako anakutafuta ujibu deportivo ipo nchini au la.
 
Yaani ingemgonga huyohuyo ingefaa zaidi
 
Alikuwa akiongea maneno magumu sana na alikuwa mstari wa mbele kuishauri Serikali ifiche takwimu za maambukizi na vifo vya korona.

Yupo wapi hivi sasa ndugu yetu huyu?

Upuuzi huo, ndiyo uliompa UWAZIRI baada ya kifo cha waziri wa wizara hiyo aliyopo! !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…