Yupo wapi Waziri wetu wa Katiba na Sheria, Dkt. Mwigulu Nchemba?

Yupo wapi Waziri wetu wa Katiba na Sheria, Dkt. Mwigulu Nchemba?

Hii tabia ya kuulizia walipo wengine wakati sisi wenyewe hatujui hata leo mchana tutakuwa wapi ikome, ni ushamba.
Du hii nayo kali sasa,kwani wewe huwa huulizi usipomuona mtu unayemfahamu sehemu?
 
Tangu lini hekima ikatoka CCM? Anyway, hatujui alipo na wala hatuna haja ya kujua.
 
Hii tabia ya kuulizia walipo wengine wakati sisi wenyewe hatujui hata leo mchana tutakuwa wapi ikome, ni ushamba.
Usikonde. Piga nyungu sana, epuka misongamano, epuka safari zisizo za lazima, tumia vitakasa mikono, vaa barakoa, na dai chanjo ije haraka. Utanenepa. Nukta.
 
Corona itamfichua aliko , sababu hiyo inapenya kila sehemu huwezi kujificha, mimi mwenyewe ilisha nishika siku 20 nilikuwa ndani chini ya caranteen muda mwingine ili bidi nifungue madirisha yote sababu niliona hewa haitoshi lakini sikwenda hospitalini wala kutumia dawa yoyote sababu ni mtu wa mazoezi muda wote na kufanya kazi nzito.
Aisee mimi pia ni mtu wa tizi...sasa siku ya mechi ya Simba na mechi ya yanga last wk end...nilipiga nyingi sana nikawa nashangaa hangover gani isiyoisha....kumbe covid kapita humo mzee...dalili zote zimo..this kitu is real asee...bado nipo caranteen.
 
Huyu ndugu alikua mstari wa mbele kila wakati kusifia kwa kiwango cha juu sana kua haijawahi kutokea dunia nzima tumetokomeza ugonjwa wa Corona na Viongozi wa mataifa waje kwetu kujifunza.

Sijamsikia tangu juzi bungeni angalau angejitokeza hata kutoa salam za rambi rambi kwenye account yake. Yupo wapi hivi sasa schoolmate wangu Ilboru enzi hizo?

Alikua akiongea maneno magumu sana na alikua mstari wa mbele kuishauri serikali ifiche takwimu za maambukizi na vifo vya korona. Mwigulu aliwaona wanashauri vinginevyo hawafai kabisa katika taifa hili.

Yupo wapi hivi sasa ndugu yetu huyu?
Phd yule
 
mwigulu njoo huku school mate wako anakutafuta ujibu deportivo ipo nchini au la.
 
Alikuwa akiongea maneno magumu sana na alikuwa mstari wa mbele kuishauri Serikali ifiche takwimu za maambukizi na vifo vya korona.

Yupo wapi hivi sasa ndugu yetu huyu?

Upuuzi huo, ndiyo uliompa UWAZIRI baada ya kifo cha waziri wa wizara hiyo aliyopo! !
 
Back
Top Bottom