Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Kambos wametulia kwanini unawachokoza?Mzee Bwatubwatu, Mungu akikunyima akili angalau akupe busara . Ukikosa vyote huwa ukipewa chakula ukala ukashiba basi unaanza kutoa gesi tu bila aibu.
Kwa sasa Makambas wamekuwa Makambakos. Kimya sana. Nao wametengwa. Wapo nje ya mfumo. Hawana heshima kwa Mungu wala kwa Shetani. Ndo ubaya wa Shetani hana urafiki wa kudumu. Anakutumia kama ndocom akimaliza haja zake eti unakuwa hufai tena ...
Kinacho wakuta hao ni kile kile ninacho semaga hapa kila siku ...kuwa wapumbavu siku xote ujifunza kwa hasara na maumivu na uchungu kwa sababu u practice upumbavu wao maishani.Mzee Bwatubwatu, Mungu akikunyima akili angalau akupe busara . Ukikosa vyote huwa ukipewa chakula ukala ukashiba basi unaanza kutoa gesi tu bila aibu.
Kwa sasa Makambas wamekuwa Makambakos. Kimya sana. Nao wametengwa. Wapo nje ya mfumo. Hawana heshima kwa Mungu wala kwa Shetani. Ndo ubaya wa Shetani hana urafiki wa kudumu. Anakutumia kama ndocom akimaliza haja zake eti unakuwa hufai tena ...
Kabaki kucheza muziki nyumbani kwake Tegeta na mjukuu wake mwanamuziki yule nusu mmatumbi nusu mzungu.Mzee Bwatubwatu, Mungu akikunyima akili angalau akupe busara . Ukikosa vyote huwa ukipewa chakula ukala ukashiba basi unaanza kutoa gesi tu bila aibu.
Kwa sasa Makambas wamekuwa Makambakos. Kimya sana. Nao wametengwa. Wapo nje ya mfumo. Hawana heshima kwa Mungu wala kwa Shetani. Ndo ubaya wa Shetani hana urafiki wa kudumu. Anakutumia kama ndocom akimaliza haja zake eti unakuwa hufai tena ...
Ila Yule Aliyatupa Sana Maneno Kwa Kauli ZakeWazuri hawafi
Ndio gharama anayopitia na familia yake, wakitegemea mzee wa msoga wakati mzee wa msoga kwenye suala la maslahi yake ana rafiki wa kudumu.Ila Yule Aliyatupa Sana Maneno Kwa Kauli Zake
Kuramba asali kunahitaji utulivu maana wawezapaliwa.Mzee Bwatubwatu, Mungu akikunyima akili angalau akupe busara . Ukikosa vyote huwa ukipewa chakula ukala ukashiba basi unaanza kutoa gesi tu bila aibu.
Kwa sasa Makambas wamekuwa Makambakos. Kimya sana. Nao wametengwa. Wapo nje ya mfumo. Hawana heshima kwa Mungu wala kwa Shetani. Ndo ubaya wa Shetani hana urafiki wa kudumu. Anakutumia kama ndocom akimaliza haja zake eti unakuwa hufai tena ...
Tena alikuwa anasema kwa kumfokea mwandishi aliyekuwa anamuhoji.Mzee alikuwa na dharau yule dahhh nakumbuka aliojiwa kipindi kile mambo ya umeme kukatika akasema tushukuru ata kwa icho kidogo tunachopewa
Mazafakas wako Bumbuli wanaisoma namba!Mzee Bwatubwatu, Mungu akikunyima akili angalau akupe busara . Ukikosa vyote huwa ukipewa chakula ukala ukashiba basi unaanza kutoa gesi tu bila aibu.
Kwa sasa Makambas wamekuwa Makambakos. Kimya sana. Nao wametengwa. Wapo nje ya mfumo. Hawana heshima kwa Mungu wala kwa Shetani. Ndo ubaya wa Shetani hana urafiki wa kudumu. Anakutumia kama ndocom akimaliza haja zake eti unakuwa hufai tena ...
Sio Royal ni LoyalNdio gharama anayopitia na familia yake, wakitegemea mzee wa msoga wakati mzee wa msoga kwenye suala la maslahi yake ana rafiki wa kudumu.
EL alikuwa royal kwa jk kilichomkuta ilibaki story
Asante kwa kusahihisha mkuu.Sio Royal ni Loyal