Yusuf Manji arejea Tanzania

Siyo kwamba namfagilia, lakini hakukuwa na ushahidi wa kumtia hatiani kuhusu madawa ya kulevya.
 
Karibu. Lkn awe na nidhamu, fedha yake isimpe kiburi kudharau serikali.
 
Hivi akija muhindi aka anzisha kiwanda au pengine akachukua kiwanda kilichotelekezwa mfano kiwanda cha Tumbaku/Nguo nk, akaajiri watanzania wa kawaida tena ambao hawana ujuzi zaidi ya 300, akasaidia wakulima wa Pamba/ Tumbaku wakapata bei nzuri, huku akiwalipa wafanyakazi/watanzania mishahara waendeshe maisha yao; Kipi bora? tuache kiwanda kiwe gofu?
Acheni basi kuwa na ukoloni wa fikra.
Ujue maskini na matajiri wanategemeana; Bila hao kina Manji na masikini hawawezi kupata hela
 
..maovu yote wanayafanya kwa msaada wetu sisi wazawa na haswa watu wakubwa serikalini na ktk chama cha mapinduzi.

Kinachoumiza zaidi ni pale wazawa wanapowasaidia kuhujumu nchi halafu wazawa wanaambulia makombo na hawa wafanyabiashara ndio wanachukua the lion's share na kuficha DUBAI!!! Manji alichukua fedha NSSF kiujanjaujanja enzi ya Ramadan Dau mpaka leo lile deni hajalipa huku wafanyakazi wakisota kupata mafao yao!!! Huyo huyo akachukua mikopo CRDB Ikawa chefuchefu miaka ikamponza Kimei akaondoka!!!
 
Watanzania wengi ni myopic na short term memory. JPM hakupenda ukanjanja hao watu wanatumia mianya ya vichwa vibovu vya baadhi ya watawala wetu nasi tunabaki kuwa third class .kama sikosei Kati ya hao wapo waliochukua mashamba thousands of areas wanachukua mikopo nje then wanafanya Yao .hao ndo mnawaona wajanja wenu na JPM was nothing .black people men tuna misalaba
 
Na wewe fanya biashara za magendo uonw Kama ni kitu chepesi,mtaishia kuahindia mihogo ya 500 ya kukaanga
 
Wewe ulitaka akili zao ziwe kwenye kutengeneza hasara? Kaomboleze na waliokuzaa kwa umaskini wenu
 
Wewe na baba yako umelipa kodi kiasi gani kabla ya kupayuka kwa jasho la mwingine?
 
Alafu hawa jamaa uwa hawajengi nyumba za kuishi, labda huko dar. Zaidi Uwa wanafakamia nyumba za msajili
Udhulumati uliasisiwa na viongozi toka kanda ya ziwa ndio umewafanya wasirudie kosa, nyumba zote za msajili kila mahali tz walijenga wao ila sio baada ya hapo
 
Yaani manji alikwepa kodi? Unajisahaulisha
 
Magaacholi ndivyo walivyo. Hata hivyo, kuna wakubwa nyuma yake. Mara hii mmesahau akina Chavda na Gulamali bila kumsahau fisadi wa Igunga Rostam Aziz?
 
Udhulumati uliasisiwa na viongozi toka kanda ya ziwa ndio umewafanya wasirudie kosa, nyumba zote za msajili kila mahali tz walijenga wao ila sio baada ya hapo
Nikweli walitsifishiwa mkuu. Zulma haimwachi mtu salama mkuu.

Nyerere na Magu
 
Na wewe fanya biashara za magendo uonw Kama ni kitu chepesi,mtaishia kuahindia mihogo ya 500 ya kukaanga

Sijasema nirahisi ni ngumu na ndio maana hawa wakina Manji mwendazake aliwapeleka kunyea debe; maisha yao yote watamkumbuka!!! Mimi wacha nishindie mihogo ya 500 lakini sidhalilishwi na mtu.!
 
Mashabiki wa Yanga tupewe ulinzi sasa
 
Waje tu kwani sioni hata kilichofanyika huo muda mnaosema kuwa eti vichochoro vilizibwa, tuvune mabua mala ngapi?cha muhimu maisha yarudi, kawaida, kama huko nyuma, kwani miaka hiyo mitano kipi cha kujivunia kuwa tulifaidika nacho?zaidi ya dhuruma na mateso?hali ya maisha imezidi kuwa ngumu, mishahara haikuongezwa, gharama za matibabu ziko juu, kibaya zaidi deni la taifa limekuwa kubwa mno!!pesa, za watu zimekombwa??Nasema waje tu wote waliokimbia tujenge nchi, wao wapate na mimi masikini niambulie , .MUNGU FUNDI SANA.
 
Wewe ulitaka akili zao ziwe kwenye kutengeneza hasara? Kaomboleze na waliokuzaa kwa umaskini wenu

Akili zao watengeneze faida lakini wawekeze hapa hapa kama Marehemu Mengi!!! Umeelewa tofauti wewe boya. Sina haja ya kuomboleza kwani namshukuru Mungu niko vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…