Waje tu kwani sioni hata kilichofanyika huo muda mnaosema kuwa eti vichochoro vilizibwa, tuvune mabua mala ngapi?cha muhimu maisha yarudi, kawaida, kama huko nyuma, kwani miaka hiyo mitano kipi cha kujivunia kuwa tulifaidika nacho?zaidi ya dhuruma na mateso?hali ya maisha imezidi kuwa ngumu, mishahara haikuongezwa, gharama za matibabu ziko juu, kibaya zaidi deni la taifa limekuwa kubwa mno!!pesa, za watu zimekombwa??Nasema waje tu wote waliokimbia tujenge nchi, wao wapate na mimi masikini niambulie , .MUNGU FUNDI SANA.