Yusuf Manji arejea Tanzania

Yusuf Manji arejea Tanzania

Kwahiyo hadi leo , uhamiaji hawafahamu kama Manji ni raia wa Tanzania [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nchi ya kipumbavu hii, wageni wanapata shida mno yani wanasumbuliwa sana. Ada zenyewe kubwa wanazotozwa, wataacha kukimbia!
 
Una chuki binafsi,ina maana wewe unalipa kodi zote?
Wataanza kurudi kuja kufanya biashara zao kwani wameishaona kuna uchochoro umefunguka!!! Tusijidanganye na hawa wakina Manji kuwa wana uzalendo hasa hawa jamaa zetu wahindi; akili yao yote iko kwenye kutengeneza faida halafu kuwekeza nje !!! Ili kupata faida kubwa wanakwepa kodi!!!! Tusiwachekee sana hawa mwisho nchi itakujavuna mabua!!! Hakuna mfanyabiashara anaependa kulipa kodi!!!
 
Wewe utoto unakusumbua. Kwani hizi Nyumba za msajili si wao walijenga Nyerere akawanyang'anya
Sasa mnawapangishia.
Alafu mnaita National Housing.

Aise Nilikua sijui kama ni wao walizijenga.

Mbali na national housing kutaifishiwa, majengo mengi tu yamechukuliwa na awamu iliyopita pia, tena bila huruma.


Nyerere na Magu wamefanya sana hii zulma kwa wageni. Mungu atawalipa huko waliko.
 
Wataanza kurudi kuja kufanya biashara zao kwani wameishaona kuna uchochoro umefunguka!!! Tusijidanganye na hawa wakina Manji kuwa wana uzalendo hasa hawa jamaa zetu wahindi; akili yao yote iko kwenye kutengeneza faida halafu kuwekeza nje !!! Ili kupata faida kubwa wanakwepa kodi!!!! Tusiwachekee sana hawa mwisho nchi itakujavuna mabua!!! Hakuna mfanyabiashara anaependa kulipa kodi!!!
Wewe unafanya nini ktk maisha yako?
 
Wafanya biashara hawana shida, Tatizo ni watunga sheria kwani hata hazieleweki, hata hao wakusanya kodi ukienda kuwauliza hawajui na hawawezi kuzitafasiri, miongozo hazieleweki, yaani wanafanyabiashara kwa maelewano tu, ndio maana uongozi ukibadilika kila kitu kinabadilika na mwenye nguvu ndio mwenye uamuzi wa mwisho. ukifuata sheria huwezifanya biashara hapa.
 
Jinsi utelembwe wanatuonea wivu utopolo[emoji23][emoji23]

Sasa ni muda wa kumweka gsm kwenye sanda
 
Karibu home aliyetamani kukushusha kashushwa yeye njoo uisaidie yanga
 
Bei ya korosho mbaazi ufuta zitakuwa juu this time Ili kusini nao wawe na maendeleo
 
Nikikumbuka Tambo za bwana Manji kipind ametajwa na Makonda kama Drug dealer, hapo ndo napata uhakika kuwa vyombo vya dola vina nguvu kuliko pesa ya MTU hasa vikifanya kazi kizalendo. Wakati wa kesi zake alitia huruma sana huyu boss. Mwenye picha yake tafadhali naomba.
Kama angekuwa na kesi angekutwa na hatia
 
Nikikumbuka Tambo za bwana Manji kipind ametajwa na Makonda kama Drug dealer, hapo ndo napata uhakika kuwa vyombo vya dola vina nguvu kuliko pesa ya MTU hasa vikifanya kazi kizalendo. Wakati wa kesi zake alitia huruma sana huyu boss. Mwenye picha yake tafadhali naomba.
Ile ilikuwa ni operation kichaka cha kuibia matajiri pesa zao mwendazake na bashite unajua wamepata utajiri Mkubwa sana kwenye ishu ile.Sema tu afrika ni mambo ya kulindana lkn bashite hakustahili kuwa uraiani japo analindwa but kuna siku lzm atalipia uovu wake, tawala uja tawala upita.
 
Pabaya wapi, Wengi wa Watanzania walishazoea Kula chakula cha kutupiwa kama mbwa, na wanaowatupia chakula hicho ndio hao mnaowatetea leo!!

Shida ni uvivu na kukosa uchungu wa kwanini ulizaliwa Tz na upo Tz ili iwe nini, wengi hawaelewi, ispokuwa wanafurahia tu kuwepo Tz pasina kuelewa Ni kivipi kwenye nchi za wengine mtu akiwa mkwepa Kodi Adhabu yake huwa ni kubwa na kali Sana,

Tofauti na Hapa kwetu, mtu akiwa mkwepa Kodi, atayemfuatilia alipe Kodi ataonekana ndiye hafai na ananyanyasa watu

Nchi yangu ya ajabuu sana
Taratibu za kisheria zifuatwe na sio double standard na kunyanyasa watu.Kwa akili yako tu eti wale wazee wawili tu waliojela ndio walikula hela za escrow inaingia akili kweli kwann usikamate chain yote.
 
Mtategemea hawa wahindi mpaka lini? Tukiwaambia ukweli mnasema tunawanga!!!
Ni kwa sababu Nyerere alitufukarisha mind kwa kutuaminisha ufukara ndio uzalendo. Ukiwa na mali unakamatwa. Tofauti na wenzetu Kenya
 
Arusha wahindi wameshaanza unyanyasaji, Leopard tours wanawafukuza wajasiriamali waliopo karibu na jengo lake pale sekei opposite na mount meru hoteli, wametakiwa waondeke na amri inatoka kwa watendaji wa serikali, yaani hata kama unafanya biashara mita 50 karibu na jengo lake unatakiwa kuondoka

Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
Nyapara alikudekezeni wanyonge hadi leo mnapikia chapati kwenye zebra. Utawala wa sheria ni lzm urejee.
 
Waje tu kwani sioni hata kilichofanyika huo muda mnaosema kuwa eti vichochoro vilizibwa, tuvune mabua mala ngapi?cha muhimu maisha yarudi, kawaida, kama huko nyuma, kwani miaka hiyo mitano kipi cha kujivunia kuwa tulifaidika nacho?zaidi ya dhuruma na mateso?hali ya maisha imezidi kuwa ngumu, mishahara haikuongezwa, gharama za matibabu ziko juu, kibaya zaidi deni la taifa limekuwa kubwa mno!!pesa, za watu zimekombwa??Nasema waje tu wote waliokimbia tujenge nchi, wao wapate na mimi masikini niambulie , .MUNGU FUNDI SANA.
Jumla ya matajiri 6 wakubwa wamekufa, Ili la watu kuporwa pesa zao na ushahidi upo warejeshewe pesa zao, mtu kaweka pesa zake bank, bank husika ieleze nani kachukua. Kwenye bureau de change ushahidi wa ccctv si upo waliokuja kupora si wanajulikana wabanwe warejeshe fedha za watu.
 
Wao sio wajinga ni wazoefu kwenye mambo hayo ndiomana wanaiba kwa kutumia mbinu ili sheria zisije kuwatia hatiani.Ndiomana hata ukiibia kampuni,ikishindwa kukutia hatiani itafukuza.Kushindwa kutiwa hatiani kisheria haina maana hukuhusika kwenye wizi.
Sawa niwawekezaji lkn wametajilikia kupitia ujanja huo,kwakuwa tumeshindwa kuwatia hatiani basi nasi tutafute mbinu za kufanya nao biashara ili wasiendelee kututia hasara.
Kuwakwepa hao watu kwenye siasa zetu za kiafrika wasitutie hasara ni ngumu, kwani ndio wafadhiri wakubwa wa viongozi wetu, na kwenye makampuni yao wana hisa nao!!tenda zote kubwa za serikali wanapatiwa wao, mfano mzuri kwenye awamu ya tano, kwanini tenda zote kubwa zilikuwa ni single source?yaani anapewa tu mtu bila tenda kutangazwa, yule LUGUMI, kiko wapi?
 
Back
Top Bottom