Jameel2013
JF-Expert Member
- Aug 21, 2014
- 824
- 762
Ndugu yangu nyumba zote walizo jenga Serikali ilitaifisha na kuwa nyumba za serikali. Napia kwa fikira zangu mm ndio maana hilo shirika la nyumba la Taifa halina maendeleo ni sababu ya dhuluma iloyo fanyika kunyanganya nyumba za watu hebu jiulize Shirika la nyumba lijandisha kwa hasara miaka yote ujiulizi why .Alafu hawa jamaa uwa hawajengi nyumba za kuishi, labda huko dar. Zaidi Uwa wanafakamia nyumba za msajili