Spy1983
Senior Member
- May 24, 2018
- 132
- 160
Mtu yeyote anayetajirika kwa ujanjaujanja haleti maendeleo nchini bali umaskini!! Manji haleti fedha za kuwekeza bali anakwenda kukopa hela zenu mlizoweka benki ndio anazizungusha halafu mwisho wa siku halipi madeni benki na nyie mliowekeza huko CRDB mwisho wa mwaka mnaambia benki haikupata faida hivyo hampati gawio sababu mikopo ya wakina Manji imekuwa chefu chefu na benki faida yake ni kiduchu!!
Acha kuleta story za vijiwe vya kahawa; unajua undani wa biashara za Manji? CRDB wanatengeneza faida kila mwaka? Default mkubwa CRDB sio Manji…