sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Kuna watu walikuwa wanatawala utafikiri vyeo vyao na upepo wa siasa utabaki hivyo hivyo milele.
Huko Hai kuna mfanyabishara alipaza sauti akaonesha njia, saizi kuna wanawake kama 40 nao wamepata confidence kuweka wazi jinsi Sabaya alivyokuwa akiwanyanyasa kijinsia.
Na uhakika hapa Manji akianzisha njia ya kutoa ushahidi wake basi kuna watu wengi sana watapanga foleni kuelezea waliyofanyiwa na Makonda.
Makonda huu Mwaka huenda akawekwa ndani kama Sabaya hata mahabusu huku upelelezi wa tuhuma hizo ukiendelea