TANZIA Yusuf Manji, Mfanyabiashara maarufu aliyewahi kuwa mdhamini wa Yanga SC afariki dunia nchini Marekani

Sasa itakuwaje ?
Yusufu Manji is no more.

Kifo hakina huruma,
Kifo umeua wazazi wangu,
Kifo umeua Magufuli,
Kifo hauna huruma.

Kifo uko wapi? Kweli haupokei hongo.

Naona kukumiss japo hukunifahamu Manji.

Rest Easy tajiri.
 
dunia hii si yetu, nakumbuka watu hawa watatu walivyokuwa wakishambuliana katika media lakini wote marehemu. Almaruhumu Sheikh Baswalehe(Allah amsamehe makosa yake) , Yussuf Manji(amsamehe makosa yake) na Mheshimiwa Raginal Mengi (Allah amlaze anaposatahili)- HAWA WOTE SASA MAREHEMU. Tunatakiwa tuwe chawa wa Allah na sio Chawa wa binaadam wenzetu
 
You mean REGINALD MENGI
 
Apumzike kwa amani..poleni familia, ndugu, jamaa na marafiki. Ila sijaelewa kwanini picha imeandikwa "enzi za uhai wake"...
 
Pole Kwa wafiwa.

Alizinguliwa sana na Serikali ya Magufuli huyu bwana
 
Dons wa awamu ya nne wanaondoka!!

Waliowika kwenye mchakato wa urais 2015 wanaondoka :-

Membe,Lowasa,Manji....!!!?Ni kama JPM aliwafunngulia njia ya kwenda huko!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…