TANZIA Yusuf Manji, Mfanyabiashara maarufu aliyewahi kuwa mdhamini wa Yanga SC afariki dunia nchini Marekani

TANZIA Yusuf Manji, Mfanyabiashara maarufu aliyewahi kuwa mdhamini wa Yanga SC afariki dunia nchini Marekani

Hana makuu,,,,,vipi GSM wana makuu🦅
Mimi namzungumzia manji hakuwaga MTU wa maneno mengi Wala longo longo Wala blabla..

Barabara zote kijichi Zina lami hio yote Ni Asante MANJI..

Ni boss ambae Hakuwa na maneno mengi Ni mzee wa action na wote ambao wamewai ku SHARE A MOMENT FOR LIFE na manji wanamuelezea Kama a real GENTLEMAN

Askofu GWAJIMA aliwai kumzungumzia manji kwa mazuri walipo kutana kituo Cha polisi walipo itwa na makonda kipindi Cha Ile saga ya madawa ya kulevya

Pia siku za mwisho za uhai wa magufuli walikutanaga na manji kwenye uzinduzi wa viwanda vya manji morogoro...

Apumzike kwa amani Tajiri MANJI
 
Lawama zote kwa magufuri aliemuweka ndani kwa visasi, tangu pake haja recover tena.
Kweli kabisa mkuu,Magufuli ndo aliuwekea vyuma moyo wa Manji,Magufuli alikuwa hafai kabisa
 

Attachments

  • Screenshot_20240630-185837~2.png
    Screenshot_20240630-185837~2.png
    73.1 KB · Views: 3
Back
Top Bottom