Fundi manyumba
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 3,799
- 8,063
Ni kweli mkuu ila sikuona hata updated kuwa alikua anaumwaMauti huja gafla
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli mkuu ila sikuona hata updated kuwa alikua anaumwaMauti huja gafla
Mimi namzungumzia manji hakuwaga MTU wa maneno mengi Wala longo longo Wala blabla..Hana makuu,,,,,vipi GSM wana makuu🦅
Sawa mkuu ila unajua maranyingi ugonjwa kwa watu ambao sio viongozi wa umma wakati mwingine ni faragha sana.Ni kweli mkuu ila sikuona hata updated kuwa alikua anaumwa
Maisha ni fumbo kubwa sana. Mungu tu atusaidieMwenyekiti wa zamani na mfadhili wa Yanga,Yusuph Manji afariki Dunia nchini Marekani alipokuwa anatibiwa.
RIP Manji.
Misaada ndiyo inayoibua usiri wa Hali ya kiafya mkuu. Ukiwa na Hela issues nyingi zinajificha zenyewe.Sawa mkuu ila unajua maranyingi ugonjwa kwa watu ambao sio viongozi wa umma wakati mwingine ni faragha sana.
Ndio mana inavokuja habari kama hii inakua ni kama gafla mkuu...Sawa mkuu ila unajua maranyingi ugonjwa kwa watu ambao sio viongozi wa umma wakati mwingine ni faragha sana.
tayari wameweka tanzia japo wamechelewa kwa dakika kadhaa tangu taarifa kutokaWataweka taarifa inatangulia kwanza
Asante mkuu imerekebishwaGhafla
Huwa mnaongea hivi halafu siku mbili tu mnasahau na kuanza ubandido kwa wenzenuDunia tunapita tuishi na watu vizuri...!
Wa-innalilah Wa-innalilah RajiuniInnalillah wainna illah rajiuun
Tajiri akifa maskini hatuaminigi utaskia CHANZO CHA HABARI?
Sio payroll tu,aliwajengea mpaka mijumba kigamboniYusuf manji alikua Ni tajiri asie kua na makuu MTU wa watuu
Masanja wa ze comedy na clue yao wote waliwai kuwekwa kwenye payroll list ya bosi manji
Alikua Ni bonge la deal maker kiungo mshambuliaji Kama vile Pele wa Brazil
ChapuoHuwa mnaongea hivi halafu siku mbili tu mnasahau na kuanza ubandido kwa wenzenu
Kweli kabisa mkuu,Magufuli ndo aliuwekea vyuma moyo wa Manji,Magufuli alikuwa hafai kabisaLawama zote kwa magufuri aliemuweka ndani kwa visasi, tangu pake haja recover tena.