Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Hii habari Ni proved ?! Walio marekani na karib na familia ya manji watusaidie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
So sad;Nawapa pole wafiwa wote ,ndugu jamaa na marafiki na familia yake kwa ujumla.Dunia ni mapito,pumzika kwa Amani.Mwenyekiti wa zamani na mfadhili wa Yanga,Yusuph Manji afariki Dunia nchini Marekani alipokuwa anatibiwa.
RIP Manji.
Hapa unaonekana wewe ndo zezetaYule zezeta aliyepewa cheo cha kuwa RC Dar ana mdomo mchafu ,sana
Juzi kati lilimuongelea Manji na leo kafariki
Kama umelifahamu hilo Basi mungu akujaalieDunia tunapita tuishi na watu vizuri...!