Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gafula kivipi? Ulikuwa unajua maendeleo ya afya yake?Duuh mbona gafula hivi
Kwamba mimi siishi na watu vizuri?Kama umelifahamu hilo Basi mungu akujaalie
Umechanganya nahisi, yule ni rosti tamu viaziHuyu aliyesema anapiga simu Kwa majaji au??
Mkuu si leo unaweza kua hai kesho ama masaa machache haupo hai tena.Sidhani
Juzi tu RC Chalamila kamtaja pale Kariakoo
Hata mimi sijaonaMbona mtandaoni hakuna hiyo stori? If it is true RIP Manji
Frank unaitwa hukuHata mimi sijaona
Labda mtoa taarifa ni mke wa marehemu
Sikusoma ID ya mleta taarifa...sorry,ngoja nieditFrank unaitwa huku