TANZIA Yusuf Manji, Mfanyabiashara maarufu aliyewahi kuwa mdhamini wa Yanga SC afariki dunia nchini Marekani

TANZIA Yusuf Manji, Mfanyabiashara maarufu aliyewahi kuwa mdhamini wa Yanga SC afariki dunia nchini Marekani

Binti yako wa kwanza hauishi nae ndio mimi
Siku ile nimekuona upo jf ukaacha simu nikaview username ni mzabzab na hili nishawahi kulisema humu
Sada kwani niki ku-harmonize shoda iko wapi. Mbona wababa wengi tuu wanakula kuku na kifaranga chake🤣🤣🤣🤣
 
Gere
Pole kwa familia, pumzika kwa amani.... Yule dereva alishatoka yuko kijijini yuko porini analima nyanya kwa heka heka alizopitia gerezani na minyoosho kaamua atulie..... Risasi ya mguuni kwenye ile kesi ilimfanya awe kilema na alipoteza kila kitu miaka 12 gerezani mke, watoto mali!. Najua jf wanapita wengi wanaojua hii code wataelewa.. Ile gereji ni muda muafaka wa kufungwa na ulioko kule dodoma michezo ile iache.

Sent using Jamii Forums mobile app
Gereji haiwezi kufungwa kwa haraka hivyo maana Siri ya mtungi inatoka hapo
 
Ghafula tu!hata kuugua kwake hamna!!?
Wajuvi waweke nyama kidogo!

Au Domino effect zimeanza!!?

RIP comrade!
MAGUFULI ALITAKA KUMUOKOA KWA KUMUACHISHA NGADA YEYE NA WAISIHARAMU WENZAKE WAKAMTUKANA NA KUMWITA DICTATOR...CHEKI SASA NGADA ZIMEMUONDOA BAADA YA KUCHANGANYA PODA ZA MADAWA YA KULEVYA NA DAWA ZA MAHOSPITALINI ...NIKAMA MLEVI WA POMBE ANAPO KUWA NA DOZI YA DAWA ZA HOPITALINI ANASHAURIWA KUTULIA KUNYA POMBE KWANZA MAANA UKICHANGANYA MAMBO YANAKUWA SIYO ....
 
Miaka yote mitatu haja recover, kwahy ikitokea Na kwa Lissu bado mtasema haja recover. Kwan Kat Ya lisuu na Manji nani alipewa dozi nene?
Manji alikuwa anaishi na vyuma kwenye mishipa ya moyo wake (Stent’s)
Hivyo alikuwa anaishi kwa kumeza vidonge kila siku kama Mimi 😅😅
Na kama wengine wengi tu bado tupo tupo kwanza 🙄
Lakini mguu mmoja ndani mguu mmoja nje anytime tuna Go 😳 !
 
View attachment 3029953
Yusuf Manji enzi za uhai wake
Mfanyabiashara maarufu na aliyekuwa mdhamini wa Klabu ya Yanga, Yusuf Manji amefariki dunia jana Jumamosi Juni 29, 2024 saa 6 usiku katika Jimbo la Florida nchini Marekani alipokuwa anapatiwa matibabu.

Taarifa za kifo hicho zimethibitishwa na mtoto wake, Mehbub Manji akizungumza na Mwananchi Digital muda mfupi uliopita.

Yusuf Manji alikuwa ni Mkurugenzi Mtendaji wa Quality Group Limited (QGL), kampuni inayojihusisha na sekta mbalimbali kama vile magari, ujenzi, vifaa vya kilimo, utalii, huduma za afya, na mali isiyohamishika.

Manji pia alifahamika kwa kujihusisha na shughuli za kijamii na misaada mbalimbali nchini Tanzania. Pia amewahi kuwa mwenyekiti wa klabu ya soka ya Yanga.

Pia Manji alijihusisha na siasa kupitia Chama cha Mapinduzi na kufanikiwa kuwa Diwani wa Kata ya Mbagala Kuu Manispaa ya Temeke. Septemba 6, 2017 alipoteza sifa ya Udiwani kutokana na kutohudhuria vikao zaidi ya sita na vikao vya kamati vya maendeleo ya halmashauri ya Temeke zaidi ya vitatu.

Atakumbukwa kwa mafanikio makubwa na mchango wake katika uchumi wa Tanzania.

Pia soma
- Yusuf Manji apoteza sifa ya kuwa Diwani wa Mbagala Kuu kwa kushindwa kuhudhuria vikao
Aisee tumtafute Mungu kwa bidii sana , pesa sio chochote chini ya jua
 
Back
Top Bottom