TANZIA Yusuf Manji, Mfanyabiashara maarufu aliyewahi kuwa mdhamini wa Yanga SC afariki dunia nchini Marekani

TANZIA Yusuf Manji, Mfanyabiashara maarufu aliyewahi kuwa mdhamini wa Yanga SC afariki dunia nchini Marekani

dunia hii si yetu, nakumbuka watu hawa watatu walivyokuwa wakishambuliana katika media lakini wote marehemu. Almaruhumu Sheikh Baswalehe(Allah amsamehe makosa yake) , Yussuf Manji(amsamehe makosa yake) na Mheshimiwa Raginal Mengi (Allah amlaze anaposatahili)- HAWA WOTE SASA MAREHEMU. Tunatakiwa tuwe chawa wa Allah na sio Chawa wa binaadam wenzetu
Mkuu mbona wawili wasamehewe makosa na mmoja alazwe anapostahili?
 
Back
Top Bottom