TANZIA Yusuf Manji, Mfanyabiashara maarufu aliyewahi kuwa mdhamini wa Yanga SC afariki dunia nchini Marekani

TANZIA Yusuf Manji, Mfanyabiashara maarufu aliyewahi kuwa mdhamini wa Yanga SC afariki dunia nchini Marekani

Wakati Magufuli ni waziri wa ujenzi ...huyu mwamba aliwahi pishana nae sana..
Alivyokuwa Rais akaanza nae...
Too bad
That's what I like about jiwe he was full of himself, aggressive and revengeful. He knew revenge must be absolute. Jamaa hata kifo chake kabla sijajua yaliyotokea mzena i knew alifanya kiburi huko😂 na kweli kama alivosema Mabeyo ubishi na kibuli vilitawala

Sometimes watu wakikebehi kifo chake naona haina maana sababu alijua atakata moto na ameenda huko kwa kiburi
 
dunia hii si yetu, nakumbuka watu hawa watatu walivyokuwa wakishambuliana katika media lakini wote marehemu. Almaruhumu Sheikh Baswalehe(Allah amsamehe makosa yake) , Yussuf Manji(amsamehe makosa yake) na Mheshimiwa Raginal Mengi (Allah amlaze anaposatahili)- HAWA WOTE SASA MAREHEMU. Tunatakiwa tuwe chawa wa Allah na sio Chawa wa binaadam wenzetu

Walikuwa wanagombea nini? Yote wametuachia wenyewe. Ila uzuri tajiri hana baya. Akifa haozi
 
Tulikuwa kwenye kahawa mmoja wetu akasema huyu manji aliwahi kumwambia Magufuli kipindi akiwa waziri kuwa hawezi kuongea na mbwa Bali ataongea na mwenye mbwa(jakaya jigwete)Mwenye kujua issues ilikuwa Nini?
Ilikuwa ishu ya coco beach, kipindi hicho JPM n waziri wa ujenzi.

Manji alitaka kununua eneo lote la coco ila JPM akakataa mana alikuwa waziri mhusika kwenye mambo hayo, ndio manji akatoa kauli hiyo kwamba haongei na waziri/mbwa bali anaongea na mwenye mbwa/rais.

Nakumbuka ndani ya mwaka wake kama rais JPM aliwahi kusema 'yule mbwa aliyekuwa anamilikiwa, sasa hv anajimiliki mwnyw' kuanzia hapo ndipo kivumbi kilipoanza kwa manji.

Pia kuna wakati kwenye mikutano yake aliwahi kusema 'lile eneo libakie kwa ajili ya wananchi hakuna mtu kwenda kufanya kuwa eneo lake binafsi nadhani mnajua ni eneo gani' watu wakacheka sana 😂

Maoni binafsi: ila hata kama mm ndie ningekuwa rais, aisee kwa ile kauli Siwez kukuacha lazima ulambe mchanga.
Hvy basi namuunga mkono JPM kwa 100%
 
That's what I like about jiwe he was full of himself, aggressive and revengeful. He knew revenge must be absolute. Jamaa hata kifo chake kabla sijajua yaliyotokea mzena i knew alifanya kiburi huko😂 na kweli kama alivosema Mabeyo ubishi na kibuli vilitawala

Sometimes watu wakikebehi kifo chake naona haina maana sababu alijua atakata moto na ameenda huko kwa kiburi

That dude was ready for anything. He has go down while keeping his honor. Ndio maana kuna watu wengi wanamkumbuka sana.
Mimi binafsi nashangaa nini kinaendelea. Sijui lolote
 
Sidhani,huo umri wa mo dewji
b476b18bb03c4e8a91219900ebf27427.jpg

Ongezea na hii
Sidhani,huo umri wa mo dewji
 
Jamaa hata kifo chake kabla sijajua yaliyotokea mzena i knew alifanya kiburi huko😂 na kweli kama alivosema Mabeyo ubishi na kibuli vilitawala
MWONGO MKUBWA

Generali Mabeyo hajawahi na hawezi kumsema mtu aliyempa ukuu wa majeshi kwamba wakati wa uhai wake kiburi na ubishi vilitawala

JF sio group la wasusi wa instagram, au kijiwe cha wapika pombe wasio na uelewa wa chochote, huwezi kujiandikia chochote ukadhani utachota mazeta humu
 
Back
Top Bottom