KIXI
JF-Expert Member
- Mar 3, 2015
- 1,955
- 2,465
SawaManji hajawahi kuwa mchadema,lowassa kafia ccm, membe kafia ccm, chadema ipo,na itaendelea kuwepo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SawaManji hajawahi kuwa mchadema,lowassa kafia ccm, membe kafia ccm, chadema ipo,na itaendelea kuwepo.
Duh tenaRIP Gabachori.
Imagine jamaa anaenda huko ahera anamkuta jiwe ameshapewa ule uongozi wa malaika😂 hakuna rangi manji atakosa kuionaYeah! ili kesi ikaendeshwe vizuri,ukute wakili wa JPM kahitaji uwepo wake...😁😁😁
Alifika 49 kweli!?R.I.P Yusuph, amefariki bado umri unadai, only 49? Daah
Yeah kazaliwa Oktoba,1975Alifika 49 kweli!?
Sidhani,huo umri wa mo dewjiYeah kazaliwa Oktoba,1975
Mfanyabiashara maarufu na aliyekuwa mdhamini wa Klabu ya Yanga, Yusuf Manji amefariki dunia jana Jumamosi Juni 29, 2024 saa 6 usiku katika Jimbo la Florida nchini Marekani alipokuwa anapatiwa matibabu.
Taarifa za kifo hicho zimethibitishwa na mtoto wake, Mehbub Manji akizungumza na Mwananchi Digital muda mfupi uliopita.
Yusuf Manji alikuwa ni Mkurugenzi Mtendaji wa Quality Group Limited (QGL), kampuni inayojihusisha na sekta mbalimbali kama vile magari, ujenzi, vifaa vya kilimo, utalii, huduma za afya, na mali isiyohamishika.
Manji pia alifahamika kwa kujihusisha na shughuli za kijamii na misaada mbalimbali nchini Tanzania. Pia amewahi kuwa mwenyekiti wa klabu ya soka ya Yanga.
Pia Manji alijihusisha na siasa kupitia Chama cha Mapinduzi na kufanikiwa kuwa Diwani wa Kata ya Mbagala Kuu Manispaa ya Temeke. Septemba 6, 2017 alipoteza sifa ya Udiwani kutokana na kutohudhuria vikao zaidi ya sita na vikao vya kamati vya maendeleo ya halmashauri ya Temeke zaidi ya vitatu.
Atakumbukwa kwa mafanikio makubwa na mchango wake katika uchumi wa Tanzania.
Pia soma
- Yusuf Manji apoteza sifa ya kuwa Diwani wa Mbagala Kuu kwa kushindwa kuhudhuria vikao
Hata ukiishi vibaya utapita tu dogo.
Was he sick ? or an accident ?
Ndiyo ukweli hakuwa mkubwa sana, wakati akiwa mdhamini Yanga,niliwahi kuwa mwajiriwa wa klabu so baadhi ya taarifa zake nazijua mkuu kidogoSidhani,huo umri wa mo dewji
N sio buasara kumcheka au kumsema vibaya marehemu. Hakuna anayeishi milele1. Wapi nimesema nisingetaka nisiwe miye?
2. Miye mbona ni marehemu tayari ndugu?
3. Kwani wewe waogopa au hutaki kufa?
4. Kwani wewe una nini zaidi ya waliotangulia?
5. Wanasema waungwana:
"Graves are full of indispensable people."