TANZIA Yusuf Manji, Mfanyabiashara maarufu aliyewahi kuwa mdhamini wa Yanga SC afariki dunia nchini Marekani

Binti yako wa kwanza hauishi nae ndio mimi
Siku ile nimekuona upo jf ukaacha simu nikaview username ni mzabzab na hili nishawahi kulisema humu
Sada kwani niki ku-harmonize shoda iko wapi. Mbona wababa wengi tuu wanakula kuku na kifaranga chake🀣🀣🀣🀣
 
Gere Gereji haiwezi kufungwa kwa haraka hivyo maana Siri ya mtungi inatoka hapo
 
Ghafula tu!hata kuugua kwake hamna!!?
Wajuvi waweke nyama kidogo!

Au Domino effect zimeanza!!?

RIP comrade!
MAGUFULI ALITAKA KUMUOKOA KWA KUMUACHISHA NGADA YEYE NA WAISIHARAMU WENZAKE WAKAMTUKANA NA KUMWITA DICTATOR...CHEKI SASA NGADA ZIMEMUONDOA BAADA YA KUCHANGANYA PODA ZA MADAWA YA KULEVYA NA DAWA ZA MAHOSPITALINI ...NIKAMA MLEVI WA POMBE ANAPO KUWA NA DOZI YA DAWA ZA HOPITALINI ANASHAURIWA KUTULIA KUNYA POMBE KWANZA MAANA UKICHANGANYA MAMBO YANAKUWA SIYO ....
 
Miaka yote mitatu haja recover, kwahy ikitokea Na kwa Lissu bado mtasema haja recover. Kwan Kat Ya lisuu na Manji nani alipewa dozi nene?
Manji alikuwa anaishi na vyuma kwenye mishipa ya moyo wake (Stent’s)
Hivyo alikuwa anaishi kwa kumeza vidonge kila siku kama Mimi πŸ˜…πŸ˜…
Na kama wengine wengi tu bado tupo tupo kwanza πŸ™„
Lakini mguu mmoja ndani mguu mmoja nje anytime tuna Go 😳 !
 
Aisee tumtafute Mungu kwa bidii sana , pesa sio chochote chini ya jua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…