makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Na kama wote tukizingatia umauti basi kuna upuuzi fulani fulani tungeuacha, mambo ya dhuluma, uonevu, kuwaharibi wenzetu, ushirikina etc.Wengine hawalijui hilo !
Kwa maana wao ni wajanja kweri kweri tena ni wa mujini. π³π€ π€ π
Sawa mkuu, kuna wanaodai tiketi iliandaliwa siku alipopokea ugeni akiwa kule chimbo, ina maana hii si kweli sio?Sijasema hivyo
Hujakosea kabisa kamanda πAu nasema uongo kamanda?
Kabisa kabisa !Na kama wote tukizingatia umauti basi kuna upuuzi fulani fulani tungeuacha, mambo ya dhuluma, uonevu, kuwaharibi wenzetu, ushirikina etc.
Iko vile !Aisee tumtafute Mungu kwa bidii sana , pesa sio chochote chini ya jua
Vp ikitokea kifo cha Lissu mtasemajeMsimtoe.Yeye ndiye aliyesababisha sonona kwa Yusuph na kupelekea ugonjwa hadi umauti.Haikwepeki.
Duh! Waja hawakosi la kusema!Hujasikia wanasema eti JPM asingemweka ndani,jamaa asingekufa?so lawama bado anapewa JPM
Jiwe kachangia kifo cha manjiMAGUFULI ALITAKA KUMUOKOA KWA KUMUACHISHA NGADA YEYE NA WAISIHARAMU WENZAKE WAKAMTUKANA NA KUMWITA DICTATOR...CHEKI SASA NGADA ZIMEMUONDOA BAADA YA KUCHANGANYA PODA ZA MADAWA YA KULEVYA NA DAWA ZA MAHOSPITALINI ...NIKAMA MLEVI WA POMBE ANAPO KUWA NA DOZI YA DAWA ZA HOPITALINI ANASHAURIWA KUTULIA KUNYA POMBE KWANZA MAANA UKICHANGANYA MAMBO YANAKUWA SIYO ....
Asante mkuu kwa kunirekebisha..Aliyekuwa na Marehemu Magufuli pale Morogoro na Kufungua Kiwanda ni Rostam Aziz,na Ile siku ndio Tiketi ya Msiba mzito iliandaliwa.
Bwana ametwaa.Vp ikitokea kifo cha Lissu mtasemaje
Ila ikitokea kwa wngn bc amesababisha JPM πBwana ametwaa.
Yani hupendi kabisa atajwe kwenye "ze ligase mission"?Ila ikitokea kwa wngn bc amesababisha JPM π
Apumzike kwa amani
Wote wamepumzika!"Siongei na mbwa, naongea na mfuga mbwa"
Pumzika Boss
Mfanyabiashara maarufu na aliyekuwa mdhamini wa Klabu ya Yanga, Yusuf Manji amefariki dunia jana Jumamosi Juni 29, 2024 saa 6 usiku katika Jimbo la Florida nchini Marekani alipokuwa anapatiwa matibabu.
Taarifa za kifo hicho zimethibitishwa na mtoto wake, Mehbub Manji akizungumza na Mwananchi Digital muda mfupi uliopita.
Yusuf Manji alikuwa ni Mkurugenzi Mtendaji wa Quality Group Limited (QGL), kampuni inayojihusisha na sekta mbalimbali kama vile magari, ujenzi, vifaa vya kilimo, utalii, huduma za afya, na mali isiyohamishika.
Manji pia alifahamika kwa kujihusisha na shughuli za kijamii na misaada mbalimbali nchini Tanzania. Pia amewahi kuwa mwenyekiti wa klabu ya soka ya Yanga.
Pia Manji alijihusisha na siasa kupitia Chama cha Mapinduzi na kufanikiwa kuwa Diwani wa Kata ya Mbagala Kuu Manispaa ya Temeke. Septemba 6, 2017 alipoteza sifa ya Udiwani kutokana na kutohudhuria vikao zaidi ya sita na vikao vya kamati vya maendeleo ya halmashauri ya Temeke zaidi ya vitatu.
Atakumbukwa kwa mafanikio makubwa na mchango wake katika uchumi wa Tanzania.
Pia soma
- Yusuf Manji apoteza sifa ya kuwa Diwani wa Mbagala Kuu kwa kushindwa kuhudhuria vikao
Nimeona,kuna muda unaamua vitu vingine kupuuzia tuFaizaFixy inamankusweke umeona lakini