Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
So sad;Nawapa pole wafiwa wote ,ndugu jamaa na marafiki na familia yake kwa ujumla.Dunia ni mapito,pumzika kwa Amani.Mwenyekiti wa zamani na mfadhili wa Yanga,Yusuph Manji afariki Dunia nchini Marekani alipokuwa anatibiwa.
RIP Manji.
Hapa unaonekana wewe ndo zezetaYule zezeta aliyepewa cheo cha kuwa RC Dar ana mdomo mchafu ,sana
Juzi kati lilimuongelea Manji na leo kafariki
Kama umelifahamu hilo Basi mungu akujaalieDunia tunapita tuishi na watu vizuri...!