TANZIA Yusuf Manji, Mfanyabiashara maarufu aliyewahi kuwa mdhamini wa Yanga SC afariki dunia nchini Marekani

TANZIA Yusuf Manji, Mfanyabiashara maarufu aliyewahi kuwa mdhamini wa Yanga SC afariki dunia nchini Marekani

Aliyewahi kuwa muwekezaji wa klabu ya Yanga SC na Mkurugenzi wa Quality Group Limited (QGL) Yusuf Manji amefariki dunia leo, Juni 30, 2024.

Taarifa zaidi kukujia....
Mimi nilitamani ingekuwa fisadi kikwete
 
TANZIA: Mfanyabiashara ambaye ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Quality Group Limited, Yusuf Manji amefariki dunia leo Juni 30, 2024 akiwa nchini Marekani.

Manji aliwahi kuwa mwanasiasa akitumikia nafasi ya Diwani wa Kata ya Mbagala Kuu, kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM kati ya mwaka 2015-2017.

Aidha Manji amewahi kuwa Mfadhili na Mwenyekiti wa klabu ya Yanga SC
 
Back
Top Bottom