Mtemi Mbojo
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 891
- 1,569
Wataweka taarifa inatangulia kwanzaMbona hakuna news alert au tanzia?
SadLawama zote kwa magufuri aliemuweka ndani kwa visasi, tangu pake haja recover tena.
Mauti huja ghaflaDuuh mbona gafula hivi
Maneno yangekuwa mengi sana! Nchi ya wanafiki hii kila kifo JPM alikuwa nahusishwa!Imagine angekufa kipindi cha JPM 😎
Apumzike mahali pema peponi, Amen
1. Wapi nimesema nisingetaka nisiwe miye?Unaweza kua Wewe usiseme HIVYO
GhaflaMauti huja gafla
Najiuliza tu huyu nae sijui alifurahia alipokufa JPM! Nae hajachukua muda kaondoka! Tuombeane kwa kweli!Lawama zote kwa magufuri aliemuweka ndani kwa visasi, tangu pake haja recover tena.
🤣🤣🤣 Sawa na wewe unamiliki nini km somo wako?You can't understand spiritual realm
Kufa Leo basi km unapenda kufa1. Wapi nimesema nisingetaka nisiwe miye?
2. Miye mbona ni marehemu tayari ndugu?
3. Kwani wewe waogopa au hutaki kufa?
4. Kwani wewe una nini zaidi ya waliotangulia?
5. Wanasema waungwana:
"Graves are full of indispensable people."
Manji ni muislam jina lake ni yussufSad part ni zile kuni wanazochoma maiti wahindi dah😭R I.P mtani wa jadi ulitukimbiza sana simba tunakuombe upumzike kwa amani🤲🏽