Mpalakugenda
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 4,611
- 5,009
Apumzike kwa amani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imejirudia hii taarifa isharuka hewaniEee imekuaje tena
Taarifa imejirudiaDoh
Tajiri mwenzangu kasepa....
Taarifa imejirudiaNdio yule wa wakati wa magufuli? Alilishwa kitu nini?
Sio ki hivyo. Nimesoma mahali amefia Marekani haliko kuwa anapatiwa matibabu. Alikuwa anaishi SA ambapo hospitali zao zipo vizuri. Kama amgekuwa hayupo vizuri angebaki kutibiwa SA lakini kafia Marekani ambapo matibabu ni bei za matibabu ni juu.Hata mali zake na biashara zake ziliyumba vusasi siyo vizuri ndio maana wazungu wana msemo when you go out for revenge prepare two graves, ndio kilichotokea wote wamekufa
Pole sana yusufuMimi jina langu naitwa Yusuph , Leo imekuwa siku nzito Sana kwangu .
Nadhani that was a sign kuwa somo wangu anaondoka.
Siyo ya kucheka lakini 😂😂😂😂Yeah! ili kesi ikaendeshwe vizuri,ukute wakili wa JPM kahitaji uwepo wake...😁😁😁
Kwani hapa mtandaoni waliwahi kuleta uzi kuwa anaumwa....Gafula kivipi? Ulikuwa unajua maendeleo ya afya yake?
KIFO ni alama ya ushindiMdogo Sana huyo jamaa
Aliyewahi kuwa muwekezaji wa klabu ya Yanga SC na Mkurugenzi wa Quality Group Limited (QGL) Yusuf Manji amefariki dunia leo, Juni 30, 2024.
Taarifa zaidi kukujia....
Kifo ni udhalili,kwamba ulikua ukiinuka mwenyewe kwenda utakapo,Leo huwezi Tena,ulikua msafi Leo nzi wanakutambaa na huwezi wafukuza,kifo ni ishara you're nothingKIFO ni alama ya ushindi
Aliyewahi kuwa muwekezaji wa klabu ya Yanga SC na Mkurugenzi wa Quality Group Limited (QGL) Yusuf Manji amefariki dunia leo, Juni 30, 2024.
Taarifa zaidi kukujia....