Burn the bridge _Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 2,319
- 6,878
Ama kweli dini ni njia..
Yani anaitwa mume na hajawai kula tunda.
Na akapata mimba
Haya..
Yani anaitwa mume na hajawai kula tunda.
Na akapata mimba
Haya..
nani alimjazqAma kweli dini ni njia..
Yani anaitwa mume na hajawai kula tunda.
Na akapata mimba
Haya..
Mimi sijui ila mambo ya dini haya😂nani alimjazq
Alipojifungua jamaa akaanza kutombaa, unafikiri Mariam hakuzaa tena ?Ama kweli dini ni njia..
Yani anaitwa mume na hajawai kula tunda.
Na akapata mimba
Haya..
😂😂😂 Mimi simoAlipojifungua jamaa akaanza kutombaa, unafikiri Mariam hakuzaa tena ?
Aaah kumbe ila alikuwa ameelewa mzigo sioMume? Hata posa hakutoa mbona?
Tatizo linaanzia pale unapofikiri mambo ya kiroho kimwiliAma kweli dini ni njia..
Yani anaitwa mume na hajawai kula tunda.
Na akapata mimba
Haya..
Ndio sasa, nakuja. Yesu alikuwa na wadogo zake waliozaliwa baada ya yeye. Na mmoja wapo aliandika nyaraka ya Yuda, ile na chapter Moja tu.. yule ni dogo la Yesu😂😂😂 Mimi simo
Na kwasababu mmembiwa msitumie akili timamu kwenye mambo ya dini ndio mnaamini yesu hakuoaTatizo linaanzia pale unapofikiri mambo ya kiroho kimwili
Hahaha kwaiyo yesu alikuwa na wadogo zake?Ndio sasa, nakuja. Yesu alikuwa na wadogo zake waliozaliwa baada ya yeye. Na mmoja wapo aliandika nyaraka ya Yuda, ile na chapter Moja tu.. yule ni dogo la Yesu
Ndio mkuu, alikuwa na wadogo zakeHahaha kwaiyo yesu alikuwa na wadogo zake?
Nyuzi za kipumbavu hizi. Hapa hoja yako ni ipi?Hahaha kwaiyo yesu alikuwa na wadogo zake?
Wewe umefata NiniNyuzi za kipumbavu hizi. Hapa hoja yako ni ipi?
Nenda kasome Biblia yako vyema, hujui kitu.Ama kweli dini ni njia..
Yani anaitwa mume na hajawai kula tunda.
Na akapata mimba
Haya..
Nyuzi za rika balehe hizi. Ni wa kumsamehe mkuu. Form 1C wapo likizo.Tatizo linaanzia pale unapofikiri mambo ya kiroho kimwili
Aliolewa ila kabla hawajajamiana alimkuta na mimba...mimba ya miezi mingapi mkuu...Nenda kasome Biblia yako vyema, hujui kitu.
Simple ni hivi, Biblia inasema Maria aliolewa na Yusuph lakini KABLA YA KUJAMIIANA tayari Maria akaonekana ana Mimba, hapo Yusuph akastuka akahisi amepigwa (yaani ameoa kahaba), mwamba akajipanga kuipiga chini manzi kimya kimya lakini kabla ya kutekeleza hilo, malaika akamtokea mwamba na kumwambia atulie maana kilichotokea kwa Maria ni muujiza tu, hakuna umalaya, mwamba kwa kuwa alikuwa mtu wa kiimani (anajua kitabu na anamuomba Mungu) akaelewa fresh na maisha mengine yakaendelea.
Kipi hakieleweki hapo?
🖕🖕Wewe umefata Nini