Yusuph alikuwa mme wa bikra maria, narudia mume..na akapata mimba bila kujamiiana..

Kupendana si dhambi ... tatizo watz kupendana ni mpaka tumvue nguo mtoto wa watu na kumwacha
ACHA kudhihirisha upumbafu ambayo umepewa Sunday school wewe..

Yani mtu aoe alipe mahali aweke ndani kabla ya kula mzigo aseme ana mimba 😂
 
Mstari wa kwanza umedhihirisha hustahili kujibiwa.Asante
 
Back
Top Bottom