Yusuph Kagoma kwenda Yanga

Sasa kama unajua mkataba ni siri mbona unauliza kiubishi kutaka kujua kama nimeuona Mkataba aliou sign?
 
Sasa kama unajua mkataba ni siri mbona unauliza kiubishi kutaka kujua kama nimeuona Mkataba aliou sign?
Si umekuja kibishi kama ni haki yako kuujua mkataba...🙂🙂🙂
 
Msiwape Air time hao mazuzu...maana hakuna kesi hapo wana mengi ya kujibu..wangenyamaza kuliko kujiabisha...
Labda washtakiane wao na FG sio Kagoma...
Wanapenda Sana ligi za maneno!
Kwani iyo mikataba wanatuonyesha Sisi inatusaidia nini, labda hawajui pa kupeleka, ngoja niwaelekeze,
"UTOPOLO HIYO MIKATABA PELEKENI PALE KARUME mkifika muulize kuna ofisi za TFF" msitutoe relini tafadhali!
 
Mkuu Mbona unaturushia mate halafu ulicho andika hata ww mwenyewe huelewei umeandika nini
 
Mkuu Mbona unaturushia mate halafu ulicho andika hata ww mwenyewe huelewei umeandika nini
Mheshimiwa, mwacheni kijana ajitafutie maisha. Suala lake halina sababu ya kuita waandishi, kuita waandishi mi sioni Kama ni msaada au tuseme Yanga inahitaji huruma ya jamii kwamba iwasaidie? Acheni hizo
 
Kuna mkataba umeona sign yake??
Leo Bw. Patrick Simon Mwanasheria wa Yanga amewaonesha Waandishi wa Habari Mikataba yote miwili yaani Singida FG vs Yanga na Yanga vs Kagoma. Tena Bw. Kagoma ameweka na dole gumba kwenye hiyo contract. My take: Wachezaji wetu wa ndani wana shida sana katika uelewa wa Mikataba yaani Contract Management.
 
Yani Yusuph amegoma kwenda Yanga? Na kwann agome kwenda Yanga?
Amechungulia dish, ameona hakuna maslahi pale na pia ameogopa akimaliza mkataba atadhulumiwa Kama Akina Okrah, kwani utopolo ata FIFA wanaijua! kijana anaona mbali!
 
Amechungulia dish, ameona hakuna maslahi pale na pia ameogopa akimaliza mkataba atadhulumiwa Kama Akina Okrah, kwani utopolo ata FIFA wanaijua! kijana anaona mbali!
Kwahy Yusuph akagoma 😂
 
Yanga wanapenda kesi ila Picha inaanza mwanasheria wao hajawahi kushinda kesi yoyote, kwanzia kwa Morison hadi Feisal
Hadi kwa mzee magoma alikula za uso
 
Hadi kwa mzee magoma alikula za uso
Huyo ni mwanasheria jina Tu, Hana lolote. Iwapo walishakamilisha mkataba na Kagoma kwanini akupeleka mkataba TFF Kwa usajili? Au alikuwa HAJUI Hilo adi dirisha linafungwa?
 
Ila Watampata tu, mbona Chama wanaye? Wawe na subira.
 
MAKOLO walishachanganyikiwa tangu wapigwe zile 5 kwa 0 wamekuwa wakihaha na kuansika Pumba kila kona

Yanga ilivyo ni ya kumtaka kiswaswadu yeyote kutoka Kolo kweli?

Mtaendelea kufungwa na kugombana wenyewe mpaka mwisho

Makolo mnachekesha kwelikweli 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Chama, Baleke, Mkude nasikia Fredi naye yupo mbioni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…