Yusuph Kagoma kwenda Yanga

Yusuph Kagoma kwenda Yanga

Mnataka wa Simba wa kazi gani? Mkataba ni siri kati ya watu wawili au pande mbili...nyie kuuleta hadharani ni matatizo yenu..na hata FG wakiamua kuwa sue huyo mwanasheria wenu wanaweza why aonyeshe mkataba wao hadharani?
Ndo maana hayo mambo yalikua kwny kamati huko ya usuluhishi...
Sasa kama unajua mkataba ni siri mbona unauliza kiubishi kutaka kujua kama nimeuona Mkataba aliou sign?
 
Msiwape Air time hao mazuzu...maana hakuna kesi hapo wana mengi ya kujibu..wangenyamaza kuliko kujiabisha...
Labda washtakiane wao na FG sio Kagoma...
Wanapenda Sana ligi za maneno!
Kwani iyo mikataba wanatuonyesha Sisi inatusaidia nini, labda hawajui pa kupeleka, ngoja niwaelekeze,
"UTOPOLO HIYO MIKATABA PELEKENI PALE KARUME mkifika muulize kuna ofisi za TFF" msitutoe relini tafadhali!
 
Kweli Utopolo wenye akili ni wawili Tu! Kwa hili la Yusuph kugomea kwenda Yanga na jinsi Utopolo wanavyohaha kisa sio Mchezaji bali ni kutaka kutunishiana misuli na Semaji la CAF kweli aliyesema huko wenye akili ni wawili Tu apewe maua yake. Angalia jinsi mapovu yanavyowatoka midomoni kisa sio Mchezaji bali eti kauli za Semaji la CAF ndio mijitu yote hiyo yanapambana na jeshi la mtu mmoja, loh! Mnatia aibu, mmeshakua sasa, mambo ya mipasho muwaachie Akina Mashauzi na Khadija Khopa. Kwani suala Hilo hamuwezi kuliendesha/ kulishughulikia bila kuita waandishi wa habari? Pu***vu zenu! tutoleeni utoto wenu! Mlikuwa wapi siku zote? Hii inaonyesha Semaji la CAF anawakera kiasi cha kukosa usingizi!
Simba Raha Sana! Jitu moja Tu la Simba linawakera! Kwa taarifa yenu hamtutoi relini kwenye mechi zetu za kimataifa, kwani ndio lengo lenu kipindi hili. Aluta continue! Simba mbele Kwa mbele! Kagoma kagoma kuja kwenye vyura!
Mkuu Mbona unaturushia mate halafu ulicho andika hata ww mwenyewe huelewei umeandika nini
 
Mkuu Mbona unaturushia mate halafu ulicho andika hata ww mwenyewe huelewei umeandika nini
Mheshimiwa, mwacheni kijana ajitafutie maisha. Suala lake halina sababu ya kuita waandishi, kuita waandishi mi sioni Kama ni msaada au tuseme Yanga inahitaji huruma ya jamii kwamba iwasaidie? Acheni hizo
 
Kuna mkataba umeona sign yake??
Leo Bw. Patrick Simon Mwanasheria wa Yanga amewaonesha Waandishi wa Habari Mikataba yote miwili yaani Singida FG vs Yanga na Yanga vs Kagoma. Tena Bw. Kagoma ameweka na dole gumba kwenye hiyo contract. My take: Wachezaji wetu wa ndani wana shida sana katika uelewa wa Mikataba yaani Contract Management.
 
Yani Yusuph amegoma kwenda Yanga? Na kwann agome kwenda Yanga?
Amechungulia dish, ameona hakuna maslahi pale na pia ameogopa akimaliza mkataba atadhulumiwa Kama Akina Okrah, kwani utopolo ata FIFA wanaijua! kijana anaona mbali!
 
Amechungulia dish, ameona hakuna maslahi pale na pia ameogopa akimaliza mkataba atadhulumiwa Kama Akina Okrah, kwani utopolo ata FIFA wanaijua! kijana anaona mbali!
Kwahy Yusuph akagoma 😂
 
Hadi kwa mzee magoma alikula za uso
Huyo ni mwanasheria jina Tu, Hana lolote. Iwapo walishakamilisha mkataba na Kagoma kwanini akupeleka mkataba TFF Kwa usajili? Au alikuwa HAJUI Hilo adi dirisha linafungwa?
 
Ila Watampata tu, mbona Chama wanaye? Wawe na subira.
 
MAKOLO walishachanganyikiwa tangu wapigwe zile 5 kwa 0 wamekuwa wakihaha na kuansika Pumba kila kona

Yanga ilivyo ni ya kumtaka kiswaswadu yeyote kutoka Kolo kweli?

Mtaendelea kufungwa na kugombana wenyewe mpaka mwisho

Makolo mnachekesha kwelikweli 🤣🤣🤣🤣🤣
 
MAKOLO walishachanganyikiwa tangu wapigwe zile 5 kwa 0 wamekuwa wakihaha na kuansika Pumba kila kona

Yanga ilivyo ni ya kumtaka kiswaswadu yeyote kutoka Kolo kweli?

Mtaendelea kufungwa na kugombana wenyewe mpaka mwisho

Makolo mnachekesha kwelikweli 🤣🤣🤣🤣🤣
Chama, Baleke, Mkude nasikia Fredi naye yupo mbioni.
 
Back
Top Bottom