Yusuph Manji anakodi Yanga, Mo Dewji anachukua bure Simba

Wanachama wa Simba na Yanga wote wana Tatizo moja la msingi. Tatizo Hilo ni "MAARIFA NA WELEDI" juu ya soko la soka.

Suala la kununua au kukodi klabu sio Tatizo. Tatizo ni kwa kiasi gani unaweza kufanya "mapatano" ya kuuza au kukodi kitu ambacho hujui thamani yake. Chifu Mangungo wa Msovero alifanya hivyo, serikali imefanya hivyo, ni ajabu na aibu kwa wanachama wa Simba na Yanga kurudia makosa yale yale.

Mbali ya majengo na rasilimali zenye kuonekana Simba na Yanga wana rasilimali kubwa isiyoonekana ambayo kitaalamu inaitwa "GOODWILL". Je, ni nani kati yetu ajuae thamani ya vilabu hivi viwili. Tunahitaji kwa hakika na bila shaka kujua thamani halisi ya vilabu hivi ili mchakato ima wa kukodisha au kuuza hisa ufanyike.

Yanga na Simba ni migodi inayotembea, tuitendee haki. Wapo watu waliozifanya klabu hizi kuwa hapo zilizopo, ni aibu na fedheha kubwa kwetu kudharau michango ya wazee wetu hao na kuzitoa klabu hizi bure. Kama sio kutetemeka basi watatikisika huko "MAKABURINI".
Sasa hapo Mo anashida gani?yeye kaja na valuation yake ya 51%ya hisa za Simba thamani yake 20billion,kilichobaki kwa Simba nao waje na valuation yao washindanishe hapo
 
Hivi "MO" si alianzisha Singida united ilipotelewa wap?na african lyon ia iko wap?

#Yanga ya kimataifa#
Zilikuwa hazina Goodwill na ndio maana Simba thamani yake imefika 20billion pamoja na goodwill yake
 
Mkuu
1. Sikubaliani sana na IMANI YAKO kwamba Yanga inakurupuka- As a matter of fact mchakato huu ulipendekezwa Yanga 10+ years ago
2. Manji anachoungumza sasa baada ya kuibeba sana Yanga single-handedly ni kuifanya isimame kwa miguu yake. Kuna leo na kesho
3.Mo ananunua timu. Maandalizi ya mchakato wa Simba lazima uwe mrefu kwasababu there's no turning back.
4.Manji anakodisha timu, analeta proposal in no time wenye timu wakikubaliana na dau na muda zinawekwa procedure.
Sasa naomba nikukumbushe
a) Mo amekuja kununua Simba (being a major share holder tena kwa kuuziwa 51% shares at the rate of Tshs 20B ina maana wanasimba wengi hawataweza kuweza kununua atleast 1% ya shares)
b)Mo amekuja na technocrats wake na hata mikataba inajadiliwa kwake (premises) una uhakika gani hana interest
c)Umesahau yaliyotokea kwenye mkutano wa Simba wanachama hawakutaka hata kusikia kuhusu kingine walivyofika kwenye topic ya process. What is the difference?
d)Manji amegharamikia billions kwa ajili a Yanga as a chairman(through up&downs) ; Mo alivyoona timu imeyumba akaenda nunua Africa Lyon. Mbona hamuanzi kuogopa kua atawaambia tumefilisika tugawane mali tuvunje kampuni?
Kwakuwa Mo amenunua Simba kwa 20billion akili yako ikakupelekea kudhani hakuna mwanachama atakae weza kununua Hisa?nenda pale Dar es salaam Stock Exchange (DSE) waulize hivi mnajuaje hisa moja thamani yake shilingi 30,au 50,etc ukishapata jibu njoo tuanze kuongea maana nakuona unaongea vitu usivyovijua
 
mbona unakurupuka na wewe.....Hizo story za 10 years or 30 years back ni porojo....unadhani samba hawajawahi kuongea hiyo 20 years back? Kwa taarifa yako Azim Dewji alileta mjadala huu kwa simba mwaka 1993.miaka ya 1970 mjadala huu ulikuwepo pia

Tunachosema hapa...ni mchakato wa hivi karibuni...Ni timu ipi imeonesha kuelewa inafanya nini tangu mwanzo wa mchakato.....Yanga wanafanya kitu ambacho hata manji mwenyewe hakielewi...eti kukodi? una lease team? there is nothing like this in the world.

Aisee hapa hata hueleweki unasema nini

Hapa unakiri kuwa Simba inajua inachofanya...Na sisi wanasimba ndio tumeamua kubadili mfumo na tutauza hisa timu imilikiwe na watu binafsi ikiwemo MO...

In no time ndio nini? dau gani ambalo amesema Manji? Kijana hebu kuwa makini kidogo.....Okay...zinzwekwa procedure...meaning hata wewe hapa huelewi ni kitu gani kinakuja......

Eti kukodisha timu? ikikodishwa timu inakuwa katika mfumo gani?

Wanachama wa sasa watapewa hisa bure kutambua mchango wao wa Muda mrefu kwa timu ya Simba...Wanachama wapya watatakiwa kununua hisa.....Kama hutaweza wewe...wapo wanaoweza......

Tofauti ni kuwa wao walishajadili hilo swala katika forums zingine kwa muda wa miaka miwili hata kabla ya mkutano mkuu...hivyo walikuwa wanajua wanachofanya...Tofauti na Yanga wameitwa mkutano wa dharura...wakaambiwa na manji ishu mpya kabisa masikioni kwa dakika kumi wakapitisha kwa vigelegele...hahahaaha...isn't it funny to you?

d)Manji amegharamikia billions kwa ajili a Yanga as a chairman(through up&downs) ; Mo alivyoona timu imeyumba akaenda nunua Africa Lyon

Mo ameidhamini sana simba toka mwaka 1999 hadi mwaka 2004 kwa mafanikio makubwa ambayo hata yanga haijawahi kuyafikia....MO ni shabiki wa simba...hata kuwa na timu nyingine that was not doing justice kwa upenzi wake kwa simba

Mbona hamuanzi kuogopa kua atawaambia tumefilisika tugawane mali tuvunje kampuni?

Hujui mambo ya kampuni...so nyamaza tu
 
Kwakuwa Mo amenunua Simba kwa 20billion akili yako ikakupelekea kudhani hakuna mwanachama atakae weza kununua Hisa?nenda pale Dar es salaam Stock Exchange (DSE) waulize hivi mnajuaje hisa moja thamani yake shilingi 30,au 50,etc ukishapata jibu njoo tuanze kuongea maana nakuona unaongea vitu usivyovijua

Huyu ukimwambia kuwa unaweza kununua hisa za CRDB hawezi kukuelewa...anadhani sijui hisa ni kitu gani
 
Sasa hapo Mo anashida gani?yeye kaja na valuation yake ya 51%ya hisa za Simba thamani yake 20billion,kilichobaki kwa Simba nao waje na valuation yao washindanishe hapo

Samahani "Mzee wa Mazabe", bahati mbaya mimi sipo kujadili watu bali nilicholenga ni "issue" (mstakabali wa vilabu hivi vikubwa).
Mimi ninachosisitiza ni kufanyika kwa "valuation" kujua thamani halisi ya vilabu hivi. Kingine cha msingi ni ushauri wa kitaalamu ambao ndio utakuwa msingi wa kufanya "maamuzi".

Je, ni fedha kiasi gani ambacho Simba au Yanga inahitaji ili iweze kusimama kwa miguu yake. Je, uwekezaji huu utatumia Muda gani kurudisha mtaji. (Return on investment). Huenda uwekezaji unaohitaji ni bilioni 20 lakini ndani ya Miaka mitatu hela ikawa imerudi na klabu ikaanza kutengeneza pesa zake. Je, ikitokea hivyo wanachama hawataanza "figisu figisu" kuwa walitapeliwa.

MUHIMU, tunahitaji maamuzi yaliyo wazi na bayana ili si tu kuondoa mkanganyiko bali kuzuia migongano mbeleni.
 
Ngwananzengo, wanachama wa timu hizi lazima waanzie mahali fulani.
Hatua ya kwanza kabisa ni kukubali kuwa mifumo waliyonayo sasa haifai tena. Kunahitajika mabadiliko. Hicho ndicho walichokifanya. Baada ya hapo ni kuainisha wafuate mfumo gani kulingana na mazingira yao. Hapo ndio ninyi wataalamu sasa ndio mnapoingia. Fanyeni uchambuzi. Leteni faida na hasara ya mifumo hii mipya ya uendeshaji. Ikiwezekana sio mbaya pia kuonyesha njia, ni wapi wanachama wapite kufikia malengo yao.

Kuwalaumu tu wanachama haitoshi na haisaidii. Kwa mfano kumtaka mwanachama wa kawaida kutoka Mpigwa huko Urambo au hata Tandare Uzuri hapa jijini ajue thamani halisi ya Simba, ni kumtwisha mzigo sui wake!!

Ndugu yangu mimi nilichojaribu kuonyesha ni kwa kiasi gani wanachama wanatumia "mihemko" kama msingi wa maamuzi badala ya "taarifa sahihi". Mtu makini anapougua huenda kwa daktari na sio kupalamia dawa.

Suala la msingi wanachama wangehitaji kujua thamani ya vilabu vyao, pili ni uwekezaji wa aina gani unaohitajika lakini pia uwekezaji huo utatumia Muda gani kurudisha mtaji. Je, ni mfumo upi utapunguza kama sio kuondoa ubabaishaji katika kufanya maamuzi.
 
Mo Na Manji wote ni wafabiashara, Na siku zote mfanyabiashara anawaza faida.

Binafsi naona utaratibu anaoutumia Mo kuimiliki Simba upo wazi zaidi, ni swala Simba Na wanasheria wao kuwa makini kwenye mkataba kuhakikisha maslai ya Simba yanalindwa kwa utaratibu unaoeleweleka.

Ila utaratibu wa Manji kuikodi Yanga bado kizungumkuti, sijaelewa chochote zaidi ya vikao vya dharura Na maamuzi ya ghafla.
 
Mawazo mengine bana hata hayaeleweki unapozungumzia mo kapewa timu bure mbona huoneshi facts mfumo huu umezinemesha timu nyingi chek England, Spain,
 
Mkuu
1. Sikubaliani sana na IMANI YAKO kwamba Yanga inakurupuka- As a matter of fact mchakato huu ulipendekezwa Yanga 10+ years ago
2. Manji anachoungumza sasa baada ya kuibeba sana Yanga single-handedly ni kuifanya isimame kwa miguu yake. Kuna leo na kesho
3.Mo ananunua timu. Maandalizi ya mchakato wa Simba lazima uwe mrefu kwasababu there's no turning back.
4.Manji anakodisha timu, analeta proposal in no time wenye timu wakikubaliana na dau na muda zinawekwa procedure.
Sasa naomba nikukumbushe
a) Mo amekuja kununua Simba (being a major share holder tena kwa kuuziwa 51% shares at the rate of Tshs 20B ina maana wanasimba wengi hawataweza kuweza kununua atleast 1% ya shares)
b)Mo amekuja na technocrats wake na hata mikataba inajadiliwa kwake (premises) una uhakika gani hana interest
c)Umesahau yaliyotokea kwenye mkutano wa Simba wanachama hawakutaka hata kusikia kuhusu kingine walivyofika kwenye topic ya process. What is the difference?
d)Manji amegharamikia billions kwa ajili a Yanga as a chairman(through up&downs) ; Mo alivyoona timu imeyumba akaenda nunua Africa Lyon. Mbona hamuanzi kuogopa kua atawaambia tumefilisika tugawane mali tuvunje kampuni?

Hii taarifa ipo deep sana mkuu.Nimekuelewa. Tufumbue macho zaidi.
 
mbona unakurupuka na wewe.....Hizo story za 10 years or 30 years back ni porojo....unadhani samba hawajawahi kuongea hiyo 20 years back? Kwa taarifa yako Azim Dewji alileta mjadala huu kwa simba mwaka 1993.miaka ya 1970 mjadala huu ulikuwepo pia

Tunachosema hapa...ni mchakato wa hivi karibuni...Ni timu ipi imeonesha kuelewa inafanya nini tangu mwanzo wa mchakato.....Yanga wanafanya kitu ambacho hata manji mwenyewe hakielewi...eti kukodi? una lease team? there is nothing like this in the world.

Aisee hapa hata hueleweki unasema nini

Hapa unakiri kuwa Simba inajua inachofanya...Na sisi wanasimba ndio tumeamua kubadili mfumo na tutauza hisa timu imilikiwe na watu binafsi ikiwemo MO...

In no time ndio nini? dau gani ambalo amesema Manji? Kijana hebu kuwa makini kidogo.....Okay...zinzwekwa procedure...meaning hata wewe hapa huelewi ni kitu gani kinakuja......

Eti kukodisha timu? ikikodishwa timu inakuwa katika mfumo gani?

Wanachama wa sasa watapewa hisa bure kutambua mchango wao wa Muda mrefu kwa timu ya Simba...Wanachama wapya watatakiwa kununua hisa.....Kama hutaweza wewe...wapo wanaoweza......

Tofauti ni kuwa wao walishajadili hilo swala katika forums zingine kwa muda wa miaka miwili hata kabla ya mkutano mkuu...hivyo walikuwa wanajua wanachofanya...Tofauti na Yanga wameitwa mkutano wa dharura...wakaambiwa na manji ishu mpya kabisa masikioni kwa dakika kumi wakapitisha kwa vigelegele...hahahaaha...isn't it funny to you?

Mo ameidhamini sana simba toka mwaka 1999 hadi mwaka 2004 kwa mafanikio makubwa ambayo hata yanga haijawahi kuyafikia....MO ni shabiki wa simba...hata kuwa na timu nyingine that was not doing justice kwa upenzi wake kwa simba

Hujui mambo ya kampuni...so nyamaza tu
1. Punguza povu mana naona umekurupuka bila kujua umeingia katika mtego, Mo hajanunua Simba bali kaichukua bure kwa geresha ya kununua hisa za serikali na za timu pia.

2. Kukodi timu ni kitu kipo ila kwakuwa una ufinyu wa uelewa na exposure yani una kichwa mgando hilo litakusumbua, kuna kitu kinaitwa lease financing ambacho kinatoa ruhusa ya kukodi ama kuingia ubia wa kibiashara kama ambavyo mtu mwny asset ingine yeyote anatafuta mtu mwny mtaji ili aendeleze asset kwa malengo ya kuingiza faida Zaidi. Kwa kukusaidia pitia company act 2002 itakusaidia kujua mambo kiundani mana najua wazaramu tumewekeza kwny umbea kuliko elimu. Soma pia major na minor shareholders ili uwe kwny nafasi ya kuelewa Zaidi.

3. Wacha kumsemea Mo’ juu ya upenzi wake, Simba na Yanga haziuziki wamatopeni wewe, mwenye upenzi wa kweli anajua hili. Mo kawaingiza mkenge na nyinyi mmeingia kichwa kichwa. Baada ya mwaka hisa za simba zitapanda hakuna chura hata mmoja atakayewezsa kununua, Mo atawasabotage na kununua hisa Zaidi kabla hamjazinduka mtakuwa mmeuza timu kwa bei ya bure. Ooh Kasim Dewji cjui nini na nini toa upuuzi hapa….
 
Mo Na Manji wote ni wafabiashara, Na siku zote mfanyabiashara anawaza faida.

Binafsi naona utaratibu anaoutumia Mo kuimiliki Simba upo wazi zaidi, ni swala Simba Na wanasheria wao kuwa makini kwenye mkataba kuhakikisha maslai ya Simba yanalindwa kwa utaratibu unaoeleweleka.

Ila utaratibu wa Manji kuikodi Yanga bado kizungumkuti, sijaelewa chochote zaidi ya vikao vya dharura Na maamuzi ya ghafla.
Mkuu labda hujui

Haya ndio baadhi ya aliyoyafanya Manji Jangwani

Mweneyekiti ndo aliependekeza kupandishwa kwa wachezaji pamoja na bench la ufundi iliosababisha kwa namna moja au nyingine kuleta mafanikio ya Yanga tunayoiona leo.

Mkataba katio ya TBL na Yanga umeexpire mwaka huu na hakuna hata Kampuni moja iliyojitokeza kwajili ya udhamini, kwa sababu hiyo, Manji akaiomba Kampuni ambayo alikua mwenyekiti kudhamini Yanga.

Kwa kuangalia yote ambayo Manji ameyafanya, inashangaza kwamba mtu anaweza simama akasema kwamba kuna dalili za rushwa wakati hata huko nyuma, Manji alifanya mambo yote kwa wazi. Sasa ufisadi ni kutoa au kuchukua hela? Na je Manji amekuwa akitoa au kuchukua hela Yanga?

Kwa mapenzi yake kwa klabu pamoja na mpira wa kitanzania, Manji amekua akichangia kwa kiasi kikubwa lakini leo watu ambao atujawai kuwasikia wakitoa lolote kwenye mpira wanapaza sauti na kuleta kashifa sizokuwa na ushaidi wowote. Wana yanga wenzanu pamoja na wapenzi wote wa mpira, tuwakatae watu wa haina hii.

Mafanikio tulioyapata ndani kipindi ambacho Manji amekua mwenyekiti sio yakuyabeza, tukifanya mchezo tunaweza rudi kule tulipotoka.

Sisi kama wanachama atuna Mashaka na mwenyekiti wetu, kama tungekua na mashaka basi July 2016 tusingemchagua kwa asimia 100 kuwa mwenyekiti.
 
Mawazo mengine bana hata hayaeleweki unapozungumzia mo kapewa timu bure mbona huoneshi facts mfumo huu umezinemesha timu nyingi chek England, Spain,
sana. vyura wana figisu nyingi sana mkuu
 
Back
Top Bottom