Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Kwa hakika apumzike kwa AmaniApumzike kwa amani
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ndugu zangu Watanzania,
Habari ni kuwa aliyekuwa mfanyabiashara wa kimataifa na kiongozi na mdhamini wa klabu ya Yanga anatarajiwa kuzikwa leo muda wa saa Tisa Frorida Marekani.
Hiyo ni kwa mujibu wa mwanae.na atazikwa pembezoni au karibu na kaburi la Baba yake.
Chanzo cha habari yangu ni Gazeti la Mwananchi la kiswahili.
Apumzike kwa Amani , Mungu amuangazie Mwanga wa milele.View attachment 3030522
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Hivi hakuwa mtanzania au? Maana sidhani kama shida ni gharama za kusafirisha ilhali baba yake kazikwa huko huko.🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Alishaukana Utanzania huyo.Hivi hakuwa mtanzania au? Maana sidhani kama shida ni gharama za kusafirisha ilhali baba yake kazikwa huko huko.
Tundu Lissu kwa sasa anaweza kuwa anaumwa kichwa kwa kuona kila mtu mwenye akili Timamu na anayejitambua anaondoka na kuikimbia CHADEMARip
Yanga tutawakilishwa na mh Tundu Antipas Lisu 🐼
Huyu mchuna ngozi ovyo sana.Gazeti limeandika "Florida" vizuri tu wewe unaweka ufundi wako unaandika "Frorida" hadi kero kusoma hilo jina.
Hata hivyo umesahau kumsifu mama yako kwa kufanikisha mazishi haya kufanyika kwa wakati huko Marekani.
Matendo yako ndio yatakayo kubeba .ikumbukwe ya kuwa utaambatana na matendo yako mpaka kaburini.Ukizikwa marekani unakua nusu kufikia peponi, kuna watu watabisha
Acha ujinga wako hapa dogoHuyu mchuna ngozi ovyo sana.
Wewe na Marekani wapi na wapi.wewe ni wa hapa hapaOK, asante kwa taarifa acha tujiandae andae kuelekea makaburini
Mchuna ngozi weweAcha ujinga wako hapa dogo
Rip Yusuph ManjiNdugu zangu Watanzania,
Habari ni kuwa aliyekuwa mfanyabiashara wa kimataifa na kiongozi na mdhamini wa klabu ya Yanga anatarajiwa kuzikwa leo muda wa saa Tisa Frorida Marekani.
Hiyo ni kwa mujibu wa mwanae.na atazikwa pembezoni au karibu na kaburi la Baba yake.
Chanzo cha habari yangu ni Gazeti la Mwananchi la kiswahili.
Apumzike kwa Amani , Mungu amuangazie Mwanga wa milele.View attachment 3030522
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Wewe CHAWA utazikwa huku huku kwetu Mwandoya.Ndugu zangu Watanzania,
Habari ni kuwa aliyekuwa mfanyabiashara wa kimataifa na kiongozi na mdhamini wa klabu ya Yanga anatarajiwa kuzikwa leo muda wa saa Tisa Frorida Marekani.
Hiyo ni kwa mujibu wa mwanae.na atazikwa pembezoni au karibu na kaburi la Baba yake.
Chanzo cha habari yangu ni Gazeti la Mwananchi la kiswahili.
Apumzike kwa Amani , Mungu amuangazie Mwanga wa milele.View attachment 3030522
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mchango wa Marehemu Yusuphu Manji kwa Taifa letu kiuchumi ni mkubwa sana ukilinganisha na wewe mpiga domo.Wewe CHAWA utazikwa huku huku kwetu Mwandoya.
Unaowasifiaga kumbe huku wanakuja tu kuchuma!! Wewe utazikwa huku huku na uchawa wako