SAUTI YAKO
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 2,944
- 2,032
Mi sio muhenga mzee wangu sizungumzii siku wagombania uhuru wanaitumia yanga kama eneo la kupanga mipangoyao lakini wa.eusahau mchango wa yanga kwao hadi Leo wamewaacha kule mabondeni namzungumzia mtu wa soka sir manji nilimuona akiitoa yanga kutoka sehemu moja kuisogeza sehemu,sibwabwaji mama anguUmewahi hata kumjuwa Tabu Mangala au unabwabwaja tu
Cc: Mohamed Said