Yusuphu Manji Kuzikwa Leo Saa Tisa Frorida Marekani

Ndio maana tunasemaga akili huna! Wewe umeona kabisa pameandikwa Florida, wewe unaandika frorida. Yani huna ata basic skills za comprehension. Ndio maana kutwa kuandika ujingaujinga huna uwezo wa kuelewa vitu.
Sawa
Hivi nimesahau,Manji alikuwa Mtanzania kweli?Maana Mtanzania wa kweli kuzika Marekani,mm,sielewi.Tena worse baba yake naye alizikwa Marekani.Hawa jamaa bwana,you can never trust them.
Wewe ni mjinga! Waislam wanazika haraka alipofia mpendwa wao! Hawana mbwebwe kama wengine, mfano sisi wakristo!
 
"Kakimbia Manji nchi ndiyo itakuwa wewe?" - DAR RC - Chalamila.

Poleni ndugu ,jamaaa na marafiki.
 
kifo no funzo kubwa sana kwa sisi tulio baki hai. utaacha mali zako zote, utaacha cheo chako na utaenda wewe kama ulivyo.
tufanye mema ya kumpendeza Mungu lkn pia tupendane. r.i.p Yusufu.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Habari ni kuwa aliyekuwa mfanyabiashara wa kimataifa na kiongozi na mdhamini wa klabu ya Yanga anatarajiwa kuzikwa leo muda wa saa Tisa Frorida Marekani.

Hiyo ni kwa mujibu wa mwanae na atazikwa pembezoni au karibu na kaburi la Baba yake.

Chanzo cha habari yangu ni Gazeti la Mwananchi la kiswahili.

Apumzike kwa Amani, Mungu amuangazie Mwanga wa milele.

View attachment 3030522

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kwahiyo uraia wao Tanzania ni magumashi
 
Marehemu kala sana hii nchi!!
Ni wakat wake kuliwa na mchwa😇
 
Hivi ubungo plaza ilisharudi serikalini? Au bado inasomeka kama mali ya Quality group? Ila Manji alikuwa master kwenye deal za hela, huyu labda umfananishe na Rostam tu ndiyo wanaweza kuendana, wajuvi wanasema Rostam level yake ni catholic church kwa michongo,au Aga khan.
Sasa akaonane na moto huko !! au akapige michongo aingie mbinguni
 
Ndugu zangu Watanzania,

Habari ni kuwa aliyekuwa mfanyabiashara wa kimataifa na kiongozi na mdhamini wa klabu ya Yanga anatarajiwa kuzikwa leo muda wa saa Tisa Frorida Marekani.

Hiyo ni kwa mujibu wa mwanae na atazikwa pembezoni au karibu na kaburi la Baba yake.

Chanzo cha habari yangu ni Gazeti la Mwananchi la kiswahili.

Apumzike kwa Amani, Mungu amuangazie Mwanga wa milele.

View attachment 3030522

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Wewe kibaka masikini utazikwa wapi!!?
 
kwa dar matanga tunaweka wapi, niko tandale ninunue ndizi sukari kabisa
 
You are so ignorant mkuu,Marekani ni pepote?Wewe hupajui kabisa, unapasikia tu kwenye vijiwe. America is hell for most people mkuu,except for the 1%.
Mimi niliquote tu alicho changia mchangiaji 🤣🤣🤣 kumsupport ila tuseme tu...ukweli hapa Tanzania unapafananisha na wapi huko mareKani 😭😭😭

Kubari kataa sisi tupo motoni... wenzetu wapo peponi...!​
 
Napafananisha na mahali ambapo watu wanaishi kwenye makeshift huts za tarpaulins na kula vyakula vya majalalani.Huo ndio ukweli wa Marekani mkuu.Nadhani Tanzania hatuna sehemu za aina hiyo.Mnayoambiwa kwenye vijiwe vya ngada ni uongo mtupu.
 
Back
Top Bottom