Yutong na Scania

Zhongtong!! hii nayo habari nyingine ,yutong hatii mguu kbs! lbd tupambanishe Zhongtong na scania!
 
Hawa jamaa wa Yutong ni wajanja kweli…body za kichina lakini power terrain ni ya US. Wanatumia engine za Cummings, which is one of biggest and best engine makers duniani. Mara kadhaa nimepanda haya magari and I was impressed ingawa Scania ndio definition ya buses and lorries duniani
 
Mama Preta, kweli wanakuchanganya, ila n kwamba yote haya n magri toka Toyota, tofauti n matoleo na viongezeo via design, lakin kumbuka kwamba. Kila company ya kawaida inakuwa na luxury company. Mfano. TOYOTA ndugu yake N Lexus, Nissan ndugu yake n Infinit, VW ndugu yake n Aud n.k


sio company moja aina tofauti.......?.....mnanichanganya mjue.........
 
Living proof… angalia Scania Marcopolo za Abood Dar Moro. Miaka nenda rudi kama za jana vile.
 
Jifunzeni: marcopolo, irizar, buscar n.k ni body builders wa ma bus na hutumia engines za scania, benz, volvo n.k. kamwe huwezi kulinganisha ubora wa hayo mabasi na yutong au zhongton. na ndio maana yanabei na yanadumu na ni confortable.
 
Mabasi mengi ya yutong na mengine ya kichina mda huu wameamua kuweka engine za scania kutokana na ushindani wa abiria hasa wa muda. Watanzania hawataki kushinda barabarani jambo ambalo kwa mwendo wa yutong hauwezi kuendana na scania
 
Nimesafiri na YUTONG Mara kibao kwenda Mbeya lakini zinachemsha sana,Ila zikiwa mpya utazipenda
 
Malizeni mjadala then tupambanishe Zhongtong na Yutong...The crash of brothers

Yutong kwa zhongtong anakaa vizuri yutong ameachwa nyuma sana
 
Mabasi mengi ya yutong na
mengine ya kichina mda huu wameamua kuweka engine za scania kutokana na
ushindani wa abiria hasa wa muda. Watanzania hawataki kushinda
barabarani jambo ambalo kwa mwendo wa yutong hauwezi kuendana na
scania

unaongozwa na fikra!
futa kauli au toa mifano kuthibitisha hoja yako.
 
Malizeni mjadala then tupambanishe Zhongtong na Yutong...The crash of brothers!

...Halafu tuingie kwa Higer ambayo naona nayo yanapanda chati mno kwenye barabara zetu.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…